Recent content by tusipotoshane


 1. T

  Msichana aliyeniacha naye kaachwa. Je, nimrudie?

  Hivi wewe zipo sawa sawa kichwani kweli na upo sawa kimwili?Hii ni mada kweli ya kutuletea humu jamvini?Hivi kweli wewe umeshindwa kuona uzuri na ubaya wa huyo ex-wako na kuhitimisha anafaa au laaa?Aidha mrudiane/umrudie au laa???Kweli wewe ni mwanaume au kijana wa shule?Walipokuwa na jamaa yake...
 2. T

  NEW COMER

  Sawa sawa!!Aache ngebe zake!!
 3. T

  NEW COMER

  Sawa kiongozi,ila hawa VIJANA/Vibishololo wanaoota ndevu/wanao balehe waache broken language iliyokuja na mashua,waachie wakongwe wanaojua kuitafuna na kuibinua hasa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 4. T

  NEW COMER

  Hata kiingireza chenyewe alichotumia sio kinyoofu kisarufi na kimpangilio halafu kimepinda/kina [emoji1] [emoji1] [emoji1] makengeza.Ndio tatizo la kujifanya too much know while nothing known at all!!@fundi bishoo huyu si mjomba wako mdogo?Mwambie aache ngebe za lugha iliyokuja na majahazi!!!
 5. T

  Mhadhiri UDOM ashikiliwa na Vyombo vya Dola kwa tuhuma ya kutaka rushwa ya ngono kutoka kwa mwanafunzi wa kike

  [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji109]
 6. T

  Mhadhiri UDOM ashikiliwa na Vyombo vya Dola kwa tuhuma ya kutaka rushwa ya ngono kutoka kwa mwanafunzi wa kike

  Si kosa kama wamakubaliana.Kosa ni pale mhadhiri anapotumia masomo/kufelisha wanafunzi wake wa kike kwa demand ya kupewa mapenzi ya kingono ili Mwanafunzi huyo asifeli.Takukuru wafanye kazi yao na kumpeleka mbele ya sheria.Na Utawala wa CHUO wamsimamishe kazi haraka iwezekanavyo.Mnaotetea upuzi...
 7. T

  Vyakula vinavyokukela

  Vinavyokukela??? Vinavyokukera???
 8. T

  Serikali liangalieni hili la mashabiki kusafiri na Stars kwenda Cape Verde

  Haupo makini WEWE.Yaani ndege hiyo iende kwa nauli hii sawa na anayeenda Congo DRC?Service,mafuta,posho za wafanyakazi,na up keep zingine zitafidiwa na hela IPI?Tulitegemea utapropose ziongezwe kidogo walau!!
 9. T

  Kubali ukatae. Mkoa wa Dar ndiyo Mkoa unaoongoza kwa Wanaume wenye wake wazuri..

  [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 10. T

  CCM ina kazi kubwa sana ili kulikomboa Jimbo la Mbeya Mjini!

  Sayansi ya siasa ni muhimu uifahamu,sio kwa kuisikia tu bali kupitia darasani(kuelimishwa) au uzoefu(experience). Ilibidi uwasifu CCM kujikusanyia kura hizo kwa sababu kuu 4 zifuatazo; 1.Tofauti ya kura ni kubwa sana kwa kwa kiwango chake kwa sababu ushindi ni ushindi tu na huesabika kuanzia...
 11. T

  Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

  [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 12. T

  Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

  Prof.Ibrahimu Janabi wa Jakaya Kikwete subiri watakuelewesha wanao mjua zaidi.Huenda huyu unamfahamu zaidi ila unataka tupewe nondo zaidi za yeye kuwa na tija katika jamii yetu, nami nakiri kuwa sio ma-profesa wote hawana tija,LA hasha wapo wenye tija lakini kutokana na mleta uzi alivyo uleta ni...
 13. T

  Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

  @SaaMbovu nakuelewa,nimetolea mfano hao viongozi wa kisiasa ili mleta Uzi aache kuleta data za maprofesa pasipo hawa "wasomi waliobobea" kutoka Kagera,Ukerewe na Kilimanjaro kuwa na tija yoyote kwa jamii.Nimewapa changamoto ili wawe na tija tofauti na sasa hivi utawakuta kwenye baa na vigrosary...