Dkt. Idrisa Rashid aliyewahi kuwa MD TANESCO yuko wapi?

Babe la mji,
Kama unaongelea Idriss Rashid Msabaha hili jamaa lilikuwa fisadi na lihujumu uchumi la kupindukia. Lilikuwa linafungulia maji bwawa la kidatu na mtera yanaisha ili nchi inunue umeme wa mafuta wa mabeberu na IPTL kwa kushinikiza nchi itaingia gizani.

Pia linaingia deals za wauza magenerator kwa kukatakata ovyo umeme ili watu wanunue magenerator! Hili lijamaa sio la kukumbukwa kabisa!

Tanga Petroleum.....
 
Alitutesa sana na mingurumo ya majenereta kila kona. Aliwapenda Mabeberu kama Tundu
 
Idrsa Msabaha=Bangusilo,Alijiuzulu kwa kashfa ya Richmond
Idriss Rashid=Former Tanesco Md
Marehemu Idris Msabaha alikua ni mwandishi wa habari na mdogo wake Dr Ibrahim Msabaha aliyewahi kua Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu Cha Dar, Mbunge wa Kibaha Mjini na Waziri wa Nishati na Madini na kung'olewa na sakata la Richmond. Hayati Idris Msabaha alihitimu masomo yake ya uandishi pale TSJ mwaka mmoja na jamaa aliyekua TBC aitwaye Jeff Shilembi(naye sijui yuko wapi)

Idris Rashid yeye ndiye aliyewahi kua Gavana wa Benki Kuu na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO
 
Kwa kuongezea tu ni kwamba Dr Idris Rashid baada ta BOT akaenda kuwa MD wa NBC na baadae Tanesco.

Dr Idris Rashid na Dr Charles Kimei walisoma Phd zao nje ya nchi wote wakiwa BOT lakini katika vyuo tofauti Dr Rashid akisomea Phd ya Computing Boston University na Dr Kimei akienda Uppsala Sweden akisomea Phd kwenye Uchumi yaani utafiti na sera pale BOT.

Hawa wajamaa wamekaa huko nje miaka kati ya 4 na 5 wakibobezwa kuhusu Phd zao.

Hivi vichwa viliporudi Tanzania vikawa "so ambitious" na Dr Kimei akahamia CRDB akawa MD wake huku Dr Rashid akiwa anaishughulikia BOT kuifungia mifumo ya Computer na hapo ndipo alipotoka kimaisha.

Tatizo lao walikuwa "conflict of interest" mmoja akiwa "ambitious to serve and succeed " na mwingine "over ambitious with other intentions", hivyo Dr Kimei akaamua kuondoka kutafuta "more opportunities" na ndo akapata CRDB kama MD.

Nafikiri hamna mjadala kuhusu CRDB ilivyoondoka kutoka ilipokuwa hadi ilivyo leo hii.

Baadae Dr Rashid akaja na sera za World Bank na IFM za kupunguza wafanyakazi na ndipo alipozidisha matamanio ya kuwa na fedha za kutosha.

Huu mtindo wa kubana matumizi lakini wewe ukijinufaisha ulimchukua hadi NBC na baadae Tanesco ambapo alishiriki pamoja na Ngeleja na Malima kuhakikisha IPTL na Dowans Richmond wanawakamua watanzania huku umeme ukiwa wa kugawana.

Ndio maana tofauti yao na Dr Kimei yajionyesha wazi Dr Kimei leo anagombea ubunge kwa baraka za CCM na Dr Rashid anajifisha akitumia vile vijisenti kidogokidogo.

Anayo pensheni ya kudumu na familia imetulia, hivyo vijikazi ni vya kupotezea muda tu.
 
Marehemu Idris Msabaha alikua ni mwandishi wa habari na mdogo wake Dr Ibrahim Msabaha aliyewahi kua Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu Cha Dar, Mbunge wa Kibaha Mjini na Waziri wa Nishati na Madini na kung'olewa na sakata la Richmond. Hayati Idris Msabaha alihitimu masomo yake ya uandishi pale TSJ mwaka mmoja na jamaa aliyekua TBC aitwaye Jeff Shilembi(naye sijui yuko wapi)

Idris Rashid yeye ndiye aliyewahi kua Gavana wa Benki Kuu na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO
Jeff shilembi yupo NECTA MSEMAJI MKUUU sema kitombi sana
 
Babe la mji,
Kama unaongelea Idriss Rashid Msabaha hili jamaa lilikuwa fisadi na lihujumu uchumi la kupindukia. Lilikuwa linafungulia maji bwawa la kidatu na mtera yanaisha ili nchi inunue umeme wa mafuta wa mabeberu na IPTL kwa kushinikiza nchi itaingia gizani.

Pia linaingia deals za wauza magenerator kwa kukatakata ovyo umeme ili watu wanunue magenerator! Hili lijamaa sio la kukumbukwa kabisa!

Watu huwa mnamchukia mtu Kwa uwongo na habari za uzushi bila aibu.

Idrisa hakuwahi ingia mkataba na iptl wala
Wakati wake hakuwahi kuanzisha mgawo wa wa umeme.

Punguzeni chuki
 
Unachanganya watu wawili tofauti, Dr Msabaha alikuwa waziri wa nishati na madini na sakata la richmond ndiyo lilimng'oa na Gavana Idris Rashid alikuwaga mkurugenzi wa Tanesco pia aling'olewa na vuguvugu hilohilo la Richmond lililomuondoa mamvi uwaziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Punguza uzushi.. idrisa hakujiuzulu wala kuondolewa
 
Back
Top Bottom