Huyu mrembo ananipenda na mimi pia nampenda, ishu imekuwepo kwenye Tunda

Habari za mchana ndugu zangu,

Mpaka imefikia nimekuja kuomba ushauri humu, inamaana nawakubali 100% ndugu zangu, kwani hamkuwai kuniangusha hata simu moja hasa katika matatizo yangu binafsi..

Tukienda kwenye mada
Mimi ni kijana wa miaka 23 ambaye nina mpenzi ambaye amenizidi umri kidogo yeye ana miaka 25. Ni mrembo ambaye nilisoma naye chuo kimoja mkoani dodoma. Mimi na huyu mrembo tuna uhusiano wa takriban 3 years lkni hatujawai kuingiliana(sex) hata siku moja, means haijui yangu pia siijui yake, tangu tumeingia kwenye mahusiano huwa namsaidia kifedha kwenye ishu ndogondogo, n.k

Ishu yenyewe
Huyu mrembo ananipenda pia nampenda ishu imekwepo kwenye (TUNDA). yeye anakaa kwao na mm pia ninaishi kwetu, Ni mtu wa aibu kidog, kuingia gest hajawai (anaogopa anavyodai) hvyo napata wakat mgumu kwenye hili tunda. (sio kwamba namind sana ila ishu ni kwamba nina uhusiano naye kwa mda mrefu na pia baada ya kuwa naye nikaamua kutulia naye huyuhuyu hivyo nakosa mahala pa kutimizia haja zangu) nikifikiria plan za kuanza life yngu ninazo mwakani 2012 (Mungu anijalie) je ! Nitaweza ama na yy ataweza kuvumilia kwa kipindi chote hicho???? Ama ni njia gani ya kunisaidia kutimiza hili jambo

Nipo kwenye wakati mgumu.
Naona kama ntakuja kuchapiwa na mpaka sometime naweza kumkasirikia bila sababu ,nakuwa nahc tu kwamba labda nachapiwa ila ananificha. (""yeye ni bikra"" pia huniambiaga kauli hii mara nyingi). Ushauri wenu wadau, na nikimuangalia mrembo ananipenda,pia ananiheshimu kwa kiasi kikubwa

NINACHOFIKIRIA
je! Niwe na mtu wa kuwa naye kwa ajili ya kutimiza hajazangu huku nikimsubiria yeye mpaka atakapoamua kuwa tayar kwa lolote (yaani kunipa) ama nimvumilie?

N.B. Yeye anafanya kazi sehumu fulani kwa kipindi hiki ika bado yuko kwao

Mimi pia nina shughuli zangu pia bado niko kwetu.

Naombeni ushauri wenu wadau...kuhusu jinsi ya kuishi ama kwenda sambamba na huyu mwanamke...

THANKS
Pumbavu,tafuta kazi ufanye.Acha nyuchi.
 
Kuna wenzako wanafukunyua,wewe endelea kuuza sura.
 
Mwanamme miaka 23 ni mtoto kwa msichana wa miaka 25
kuweza kuhandle changamoto za ndani kwa mwanamme ni 25yrs na kwa mdada ni 22yrs so hapo ujue hamuendani
Kwanza bado unaishi Nyumba ya baba yako wewe ni mtoto; hata kama unajiona una ndevu...
Tafuta kazi ujitegemee ndio ufikirie mambo ya sex/kuoa; Sex duniani haiishi utaikuta na utaiacha...
 
Nyie wote watoto, nyege zenu zisiwafanye mkajiona mna qualify kuwa wanandoa.
Kama we uko 23 kuna possibility ya hali ya juu kuwa mwenzio yuko 20-22 ambako ndio kipindi cha drama za hali ya juu!
Picha linaanza anataka aanze maisha yake 2012 ...yan sijui anataka arudi nyuma Tena au vp
 
Mkuu una uhakika unapendwa..!?????

Demu akikupenda tunda huwa anatoa tu,, anaweka uzio wa buibui.. so inakuwa simple coz nayeye huwa anataka kupigwa na mtinyama...

Thank me later
 
Sahii wakati ukilialia humu JF kuna njemba anajilia kilaini huku wewe ukidanganywa kuwa bado ni bikra na kuendelea kuhudumia.

Pole mkuu, ndio mgawanyiko wa majukumu katika maisha.
 
Habari za mchana ndugu zangu,

Mpaka imefikia nimekuja kuomba ushauri humu, inamaana nawakubali 100% ndugu zangu, kwani hamkuwai kuniangusha hata simu moja hasa katika matatizo yangu binafsi..

Tukienda kwenye mada
Mimi ni kijana wa miaka 23 ambaye nina mpenzi ambaye amenizidi umri kidogo yeye ana miaka 25. Ni mrembo ambaye nilisoma naye chuo kimoja mkoani dodoma. Mimi na huyu mrembo tuna uhusiano wa takriban 3 years lkni hatujawai kuingiliana(sex) hata siku moja, means haijui yangu pia siijui yake, tangu tumeingia kwenye mahusiano huwa namsaidia kifedha kwenye ishu ndogondogo, n.k

Ishu yenyewe
Huyu mrembo ananipenda pia nampenda ishu imekwepo kwenye (TUNDA). yeye anakaa kwao na mm pia ninaishi kwetu, Ni mtu wa aibu kidog, kuingia gest hajawai (anaogopa anavyodai) hvyo napata wakat mgumu kwenye hili tunda. (sio kwamba namind sana ila ishu ni kwamba nina uhusiano naye kwa mda mrefu na pia baada ya kuwa naye nikaamua kutulia naye huyuhuyu hivyo nakosa mahala pa kutimizia haja zangu) nikifikiria plan za kuanza life yngu ninazo mwakani 2012 (Mungu anijalie) je ! Nitaweza ama na yy ataweza kuvumilia kwa kipindi chote hicho???? Ama ni njia gani ya kunisaidia kutimiza hili jambo

Nipo kwenye wakati mgumu.
Naona kama ntakuja kuchapiwa na mpaka sometime naweza kumkasirikia bila sababu ,nakuwa nahc tu kwamba labda nachapiwa ila ananificha. (""yeye ni bikra"" pia huniambiaga kauli hii mara nyingi). Ushauri wenu wadau, na nikimuangalia mrembo ananipenda,pia ananiheshimu kwa kiasi kikubwa

NINACHOFIKIRIA
je! Niwe na mtu wa kuwa naye kwa ajili ya kutimiza hajazangu huku nikimsubiria yeye mpaka atakapoamua kuwa tayar kwa lolote (yaani kunipa) ama nimvumilie?

N.B. Yeye anafanya kazi sehumu fulani kwa kipindi hiki ika bado yuko kwao

Mimi pia nina shughuli zangu pia bado niko kwetu.

Naombeni ushauri wenu wadau...kuhusu jinsi ya kuishi ama kwenda sambamba na huyu mwanamke...

THANKS
Ngoja rusubiri hiyo mwakani 2012!
 
Back
Top Bottom