Recent content by tusichoke

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kimsingi tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo

    Yani wameng'ang'ana na fedha zetu tu ila mungu yupo malipo hapahapa duniani kwani dua za wengi husikilizwa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naanzisha kampeni ya kumuomba Rais Samia amuondoe Mwigulu Wizara ya Fedha

    Mzee aliyeingilia Kati suala.la Askari barabarani na akasikilizwa tunaomba aingilie Kati pia suala la tozo, asikae kimya maana ni moja wapo ya njia ya kutetea wananchi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Serikali; Ongezeni bei ya bando na tozo hizi hazitoshi

    Singer na Kodi ya kujichubua
  4. T

    JamiiForums Tanzania Serikali; Ongezeni bei ya bando na tozo hizi hazitoshi

    Aweke tozo ya watembea Kwa miguu maana nauli na mafuta bei juu poa
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu nashukuru nilipata mzigo wangu na kwa bahati nzuri sikukatwa kodi isipokuwa nilitozwa gharama za posta kiasi cha tsh 2350,asanteni sana kwa ushauri ambao nadhani next time nitafanya mazungumzo na seller kabla ya kununua mzigo ili nijue invoice itakavyokuwa baada ya kununua mzigo
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Bado haujawa declared na watu wa customs
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Sawa mkuu nimeshamcheki nasubiri anijibu, ni seller mzoefu (Fantasy)
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Asante nashukuru kwa ufafanuzi, nimefumaniwa safari hii aina ujanja
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu status ya mzigo wangu inaonyesha umezuiwa na Watu wa TRA ,uliingia toka 24/12/2019, Jana ndio update ikaonyesha" Held by customs" . Je watanijulisha kiasi cha kodi au mpaka nifuatilie? Na km kufuatilia nafuatilia posta au TRA? Plse wanaofahamu utaratibu
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Ok
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Mkuu kwani dispute haina muda maalum? Isije kuwa Jamaa wanakupotezea muda ili muda wa dispute uishe. Any way ,hao akina yanwen ,Malaysia post,nk wengine hata tracking number zao sio international ukienda POSTA wanakwambia hizo namba hazipo
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Mimi nilshawahi Agiza mzigo ukasafirishwa na huyo agent lkn update ya Mwisho ni may 16 mzigo ulikuwa posted to counter south Africa, mpaka Leo haujafika tanzania, nilishafungua dispute na nilisharudishiwa fedha zangu, shipper mwingine wa hovyo ni Malaysia post
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Ukishapata hiyo tracking namba km alivyokuelekeza Mdau hapo juu, download application inaitwa "Track24" au "17 track" zitakusaidia kutrack mzigo wako any time unapotaka
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Seller akisha ship mzigo utatumiwa update na Aliexpress, na utapewa tracking number ili uwe unaufuatilia mzigo mpaka utakapofika posta uliyotumia
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    MM ni mwezi wa master card Ku expire,mf 01 ni january ,02 febr etc. na YY ni mwaka wa master card Ku expire, ambao ni 19
Back
Top Bottom