Recent content by TUSAJIGWEGE

  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu postgraduate diploma education ya udsm or duce.

    Qualification na fees za kujiunga na pgde ya duce au udism ikoje. Naomba msaada members jwa anayejua.
  2. T

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu wizara ya elimu na ajira zake.

    Ok. Asante for information
  3. T

    JamiiForums Tanzania sms ya mafua..!!

    mmm. hii kali!
  4. T

    JamiiForums Tanzania TB Joshua....Emmanuel TV

    Ayubu alimwambia Mungu najua kuwa unaweza fanya mambo yote na makusudi yako hayawezi zuilika! hivo kazi tutapata tu!
  5. T

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu wizara ya elimu na ajira zake.

    Eti ukituma barua wizara ya elim kuomba upangiwe kufundisha kwa mtu uliyosoma kozi isiyo ya ualim inawezekana kupangiwa?
  6. T

    JamiiForums Tanzania TB Joshua....Emmanuel TV

    Kweli Mungu anajibu pale kunapokuwa na iman kamili. tatizo letu tunamuekea Mungu mipaka ktk maombi yetu but God anajibu.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kazi kampun za wahindi hapa dar es salaam

    Nacikia wanatoaga sana tempo japo wage kidogo. ofisi zao zinaptikana sana wap hapa dsm na namna ya kuaply. naomba msada
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Tunashukuru. me nataman hata nikafundishe sa sijajua shule gan niombe nafas. HGL nilisoma, niko Tegeta. naomba msaada,
  9. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha history, civics na english.

    Nimemaliza chuo ktk degree ya utawala, naomba msaada kwa yeyote atakaye sikia shule inayohitaji mlm wa muda.niko Tegeta
  10. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta temporary work

    Nimehitimu chuo mwaka jana degree ktk administratio. natft tempo yoyete hapa dar . hata kufundisha km hist, Eng, civ
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

    huyo sizan ka kafika hata form 6. ka kafika chuo na hisi alidesa.he judge vlaza, ana uhakika? a dsplay result zake.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

    He huyu jamaa tumtafutie ajira ya utafiti. anaonekana yuko deep ktk uzushi!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Any information about post advertized by PSRP, August 2013.

    Naomba msaada kwa anayefahamu kama kweli utumishi wametangaza tena kazi august hii.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kazi by utumishi

    Nacikia utumishi wametangaza kazi tena mwezi huu wa august.je ni kweli?
Back
Top Bottom