Recent content by TUPAMBANE SANA

  1. T

    Kitambulisho cha kupigia Kura

    Ndugu viongozi wa serikali. Jaribuni kupunguza mafoleni haya yanayojitokeza kwa kujiandikisha katika vitambulisho vya kupigia kura kama Mtu anakitambulisho cha utaifa ni vyema kama amepoteza kitambulisho cha kupigia kura akajaza taarifa zake online kwa maana picha na detail zote zipo ila...
  2. T

    Pata kazi bora ya dirisha na milango ya aluminium kwa bei nafuu

    Nini maana ya Material aina ya emirates, BN au fomeka sijui tofauti yake
  3. T

    Hivi mnalionaje Kundi letu la Chan 2020

    Kumbuka ni wachezaji wa ndani tuu
  4. T

    Hivi mnalionaje Kundi letu la Chan 2020

    Tanzania tumepangwa kundi D ambalo lina timu:- Tanzania, Zambia, Guinea na Namibia. jJe wadau wa mpira katika kundi hili hatuoni kwamba tutakuwa tumepata nafasi angalau kati ya mshindi wa kwanza au wa pili? Binafsi mimi Naipenda sana Taifa stars na kocha weti Ndairagije na naamini ataweza...
  5. T

    Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

    Kwa hiyo Kwakutoka ndio utapata hayo unayoyafikiria Njaa tuu kaka Nenda ukamwagwe. UKAJIPANGE SANA
  6. T

    Waziri Mwakyembe usifikirie kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni

    Mheshimiwa Waziri wa Michezo nakuomba sana usifikirie Kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni kwenye timu zetu za ligi kuu. Kwa hivi karibuni timu zetu za Simba na Yanga zimekuwa zikishindana katika kununua wachezaji wa nje kiukweli wapo ambao ukiwaona wanastahili kuitwa wachezaji wa nje ila...
  7. T

    Kipi kimeukumba mradi wa barabara ya mabasi ya mwendokasi Mbagala?

    Ninachotaka ni barabara kukamilika tuu mkuu kuishi na ben sitaki. Kama kweli Mkopo ulishatoka sasa pesa zilielekezwa wapi ndio hicho tuu
  8. T

    Kipi kimeukumba mradi wa barabara ya mabasi ya mwendokasi Mbagala?

    Ni muda sasa tokea Mkandarasi alipomaliza kuondoa udongo wa zamani na kuweka udongo mpya na kushindilia barabara hiyo lakini tokea waliposimama ni muda sasa. Awali kulisikika kelele au maneno kwamba wamesimama kwa sababu ya mvua lakini wachunguzi wa mambo tumegundua sio mvua kwa maana tokea...
  9. T

    Corona kusababisha kafara la nchi?

    Dunia kwa sasa imepigwa na bumbuazi kutokana na virus wanaoitwa Corona. Wapo wanaodai huenda vikawa ni mambo ya kuharibiana kibiashara kwa kuamini ya kwamba huenda ikawa Corona ilitengenezwa na Wamarekani ili kuchafua biashara ya China na wapo wanaoamini ya kwamba ni miongoni mwa mapigo ya Mungu...
  10. T

    Hivi kwanini Serikali na wabunge wa CCM mliamua kutukatili wafanyakazi suala la mafao?

    Dah. Inaumiza sana wadau. Yaani hata wajaribu tuu kusema wanachama wafike kwenye offisi za NSSF wapige kura tuone au waanzishe web ambayo mwanachama atawezakupiga kura tuu yaani unaingiza No. zako za NSSF then inaweza kupiga kura uone kama wanachama watasema huo upuuzi wa kusubiria miaka 55...
  11. T

    Hivi kwanini Serikali na wabunge wa CCM mliamua kutukatili wafanyakazi suala la mafao?

    Nasikitika sana kuona serikali inatulazimisha kuwa maskini. Ni ngumu sana kwa mfanyakazi kuwa tajiri kwa kutegemea kuajiriwa. NSSF wanapokea kiasi cha asilimia 20 (10 kwangu + 10 mwajiri) hapo hapo Serikali nayo wanakata kiasi cha asilimia zisizopungua 25 mpaka 30 ya mshahara wangu kama kodi...
  12. T

    Simba SC tunakwama wapi?

    AONDOKE TUUU
  13. T

    Ratiba ya Ligi Kuu Bara: Inakuwaje Ijamaa kuna mechi halafu Jumapili na Jumamosi hakuna?

    Nashindwa kuelewa kwanini azam jana na KMC walicheza na leo hakuna game Taifa japo sijajua taifa Kuna nini Angalieni ratiba zenu TFF. Watu J. Pili Na J.mosi wako home wanasubiria burudani
  14. T

    Hivi kama baba kaikimbia nyumba, nini hatma ya kijana mwenye ndoto?

    Naona furaha sana Maana naona mtifuano wao unaleta faraja ya ukombozi wa nchi Y tz
Back
Top Bottom