Ratiba ya Ligi Kuu Bara: Inakuwaje Ijamaa kuna mechi halafu Jumapili na Jumamosi hakuna?

Nov 21, 2018
29
26
Nashindwa kuelewa kwanini azam jana na KMC walicheza na leo hakuna game Taifa japo sijajua taifa Kuna nini Angalieni ratiba zenu TFF. Watu J. Pili Na J.mosi wako home wanasubiria burudani
 
Huenda hizo timu (Azam na KMC) Jumanne zina mechi kwa hiyo zimecheza Jumamosi ili kupata angalau muda kidogo wa kupumzika! Ni kweli ratiba ya michezo ya ligi yetu ina shida!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka wife Leo kaniuliza vipi Leo jumamosi mbona bado upo hakuna mechi Leo? Nikakosa la kujibu maana hata watu wasio wa mpira wanashangaa Leo hakuna mechi
 
Mpaka wife Leo kaniuliza vipi Leo jumamosi mbona bado upo hakuna mechi Leo? Nikakosa la kujibu maana hata watu wasio wa mpira wanashangaa Leo hakuna mechi
Itakuwa na sisi tunaanza winter break kama epl
 
Back
Top Bottom