Habarini wanaJF,
Wale wauzaji na wanunuaji wa viungo vya chakula (ILIKI, KARAFUU,MDALASI NA PILIPILI MANGA) tukutane hapa, tujue soko lake likoje, upatikanaji wake na changamoto zake.
Karibuni sana..!!
Kuna baadhi ya maeneo Bagamoyo yalikuwa ni mashamba, sasa serikali ya kijiji imeamuru wamiliki wa mashamba hayo ya zamani yagawiwe na kuwa viwanja vya makazi ( Makazi ya Watu).
Ninacho fikiri;
1. Ni kupata mtaji wa kununua mashamba hayo toka kwa wamiliki.
2. Kuyapima mashamba hayo na kutoa...
Brand: ASUS
Ram: 4GB
HDD: 500GB
Core: i3
CHARGE: 3 HRS+/0ea6252953ed7f3e673d2d19db8a20ef.jpg[/IMG]
PRICE: 430k ( Negotiable).
Good condition work perfectly.
Location: mwenge-mpakani
Reason for sell: i need cash to pay school fees.
Contact: 0716000133/ 0738235272
Nitangulize Shukrani zangu kwa wana JF.
Nina mtaji usio pungua LAKI TANO (500,000), nimefikiria kufungua lango la Chips maeneo ya Dar es Salaam.
Naombeni ushauri ni maeneo gani yako potential kwa biashara hiyo au kwa mtaji huo naweza kufanya kitu gani kingine.?
Ahsanteni sana, na nakaribisha...
Fungua Fixed account kwenye Bank yoyote, na ulink account yako ya mshahara na hiyo fixed account yako, ili bank wawe wanakata pesa huku huku kabla hujaaenda kuzitoa zote..!!
Mawazo Tu....!!!!!
Innalillah wainna ilaiyh raajiuun
Ya Allah ,Zilaze roho za ndugu zetu mahala pema peponi...amen.
Ya Allah tujaalie mwisho mwema na sisi tulio bakia...amen.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.