tupa_jr
Member
- Jan 28, 2017
- 23
- 22
```MONDAY TALK as we're starting The last month before accomplish the first half of the year;```
Mwanamke alie na busara hana tamaa ya kumiliki kila anachokiona, hana tamaa ya kununua kila anachokitamani kwa gharama yoyote ile, siku zote huridhika na alicho nacho na huongeza vingine pale tu anapokuwa na uwezo halali wa kufanya hivyo.
Maisha yake siku zote hajifananishi na wanawake wengine, bali anatambua ni suala la muda na bidii itamfikisha pahala pazuri. Na atapata kila alichokuwa anakihitaji katika muda sahihi na kwa njia iliyo halali.
Nitasisitiza wanaume wote kuoa mwanamke wa aina hii, ila sio yule atakaekulazimisha kumpa kila kitu anachokitamani, anaekupa pressure kununua vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wako eti kwa sababu ya mapenzi. Mapenzi hayana lugha ya kulazimisha, Mapenzi yana lugha ya ombi ambapo majibu ya kukubaliwa na kukataliwa yote yana uzani ulio sawa.
Mwanamke aliye na busara siku zote anamvumilia mpenzi wake, anampa support ya kutosha, anamuombea na anampa moyo wa ujasiri katika utafutaji na uwekezaji, anamuamini na mategemeo kedekede kwamba mambo yatakuja kukaa juu ya mstari.
Huwa na shukrani kwa kila anachopewa na mpenzi wake, anakubali na kutambua umuhimu wa anachopewa regardless ya bei au thamani halisi ya kitu hicho.
Mwanamke asie na busara na pasua kichwa atakulazimisha uchukue hata mkopo na umgharamie kwa kadiri anavyoona yeye, na kama hutatimiza hilo, mahusiano yenu yatakatishwa. Kuwa na mwanamke kama huyo ni kama unaota ndoto za majinamizi. Unaishi kwa hofu, hofu ya kumpoteza, hofu ya kishindwa kutimiza matakwa yake, na hofu ya madeni makubwa.
Ndio, anaweza kuwa ni mzuri sana kwa umbo na sura ila kwa baadae itakugharimu maumivu makali, tabia yake mbovu itaharibu uzuri wake na usiuone tena.
Safari ya maisha ni kama hatua za makuzi ya mtoto mchanga, unaweza usiwe bora na mwenye kipato kiasi ukashindwa ku afford vile unapenda ila kesho haitakuwa kama leo.
Kama uko na Mwanamke wa aina hii na anakulazimisha umuache, hauna haja ya kuwa na huzuni kwa kuwa yupo fake na atakupa wakati mgumu zaidi huko mbeleni. Usitengeneze nafasi ya yeye kukuonesha drama zake.
Maisha ni marahisi sana, usiache mtu mmoja asababishe maisha yawe mzigo kwako.
Mke mwema ni nani awezae kumuona? Maana kima chake chapita kima cha marijani"
"Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili bali mwanamke amchaye bwana ndiye atakaesifiwa"
_*"A good woman doesn't demand, Her husband can trust her, and she will greatly enrich his life"*_
By.........................