Wauzaji wa viungo vya chakula tukutane hapa

Wauzaji wa viungo vya chakula tukutane hapa

tupa_jr

Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
23
Reaction score
22
Habarini wanaJF,
Wale wauzaji na wanunuaji wa viungo vya chakula (ILIKI, KARAFUU,MDALASI NA PILIPILI MANGA) tukutane hapa, tujue soko lake likoje, upatikanaji wake na changamoto zake.
Karibuni sana..!!
 
Back
Top Bottom