Recent content by tunkya

  1. T

    JamiiForums Tanzania Yanga kutinga na kombe la kagame bungeni leo

    Mabingwa wa tanzania na mabingwa wa kombe la kagame wamepata mualiko wa kwenda bungeni na kombe la kagame kwa lengo la kupewa pongezi na wabunge? Je kwanini twiga stars wamesahaulika kama huu ndio utaratibu wa kuwapa molali ya kufanya vizuri vijana wanaotuwakilisha ktk michezo mbalimbali na hasa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Jamani wana jamii mie huku kwetu nimeshuhudia watu wengi walioenda loliondo kwa babu kufuata tiba ya magonjwa sugu yaliyokuwa tanawasumbua wakisema baada ya kunywa dawa kwa mchungaji ambilikile wamepata nafuu kubwa sana katika magonjwa yaliyokuwa yanawasumbua. Sasa iweje mwingila aseme babu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Afya za viongozi wetu wengi na baadhi ya vigogo selikarini si njema kwa kiasi kikubwa na ndo maana unakuta magari ya kifahari na hata helikopta zinatua kijijini samunge loliondo kwa mchungaji ambilikile kupata tiba ya magonjwa sugu yanayo wasumbua kwa muda mrefu jana waziri mkuu mmoja mstaafu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    kuna haja wa Tanzania kupiga kura ya kuijitenga na kutengeneza nchi mbili Zanzibar na Tanganyika maana serikali ya mapinduzi zanzibar sasa haina upizani tena bali selikali ya umoja wa kitaifa kazi imebaki Tanganyika ambako chama tawala ni ccm. huku kwa mtazamo wangu Watanganyika mnaonaje tukawa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe aeleza Sababu

    CUF na CCM ni wamoja CHADEMA wako sahihi iweje kifungu hicho kifanyiwe marekebisho leo wakati bunge la vyama vingi limedumu zaidi ya miaka kumi na sita sasa.Hawakukiona hicho kifungu kabla? Waacheni CHADEMA wafanye wanachotaka kwa RIDHAA yao na RIDHAA ya WATANZANIA milioni mbili na laki nane...
  6. T

    JamiiForums Tanzania watanzania wamechoka sasa wanahitaji mabadiliko ya kweli

    tunahitaji kusoma nyakati na kuchungulia ni kitu gani wenzetu wanafanya. ni wakati wa kuwaiga Wamisri na Tunisia ambao walisimamisha mambo yao yote kuhakikisha wanaleta mabadiliko ya kidemokrasia baada ya kuchoshwa na ubabaishaji wa serekili zilizopo madarakani. Ni lini WATANZANIA TUTAFIKIA MOYO...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    Wabunge wa chadema wanavyotoka bungeni kisa hawataki kuungana na vyama vingine wananchi tuwaeleweje?
Back
Top Bottom