Yanga kutinga na kombe la kagame bungeni leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga kutinga na kombe la kagame bungeni leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tunkya, Jul 21, 2011.

 1. t

  tunkya Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mabingwa wa tanzania na mabingwa wa kombe la kagame wamepata mualiko wa kwenda bungeni na kombe la kagame kwa lengo la kupewa pongezi na wabunge? Je kwanini twiga stars wamesahaulika kama huu ndio utaratibu wa kuwapa molali ya kufanya vizuri vijana wanaotuwakilisha ktk michezo mbalimbali na hasa wanapotokea kufanya vema ikumbukwe twiga star walikuwa washindi wa tatu na timu yenye nidhamu ktk mashindano yaliyofanyika harare
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  non sense!
   
Loading...