Mbowe wakati anachangia hoja ya kuleta tafsiri ya kifungu na mkakati mzima wa kuwafungisha wapinzani ndoa ya lazima alisema yafuatayo:
Ushirika ni jambo la msingi lakini katika bunge la kumi kuna tofauti za msingi na hivyo
haki ya kila chama haiondolewi kwa dhana za juu juu.Kuchagua mshirika ni haki yetu
na hatuwezi kulazimishwa ndoa,tumeona vijembe vilivyotokea leo tutawezaje kuwa
na kambi moja? Tunahitaji muda zaidi.
Viongozi wa vyama kushirikiana ni vizuri,tupeane muda,maridhiano hayawezi kuwa
ndani ya wiki moja ama mbili.Uamuzi wenu unabomoa,kwani hapa tatizo sio tafsiri
bali dhana ya ushirika tunaoutaka bungeni.Yapo ya msingi lakini si kutulazimisha
kuingia katika jambo ambalo hatujaridhia.