watanzania wamechoka sasa wanahitaji mabadiliko ya kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watanzania wamechoka sasa wanahitaji mabadiliko ya kweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tunkya, Feb 9, 2011.

 1. t

  tunkya Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunahitaji kusoma nyakati na kuchungulia ni kitu gani wenzetu wanafanya. ni wakati wa kuwaiga Wamisri na Tunisia ambao walisimamisha mambo yao yote kuhakikisha wanaleta mabadiliko ya kidemokrasia baada ya kuchoshwa na ubabaishaji wa serekili zilizopo madarakani. Ni lini WATANZANIA TUTAFIKIA MOYO WA KIJASIRI WA NAMNA HIYO HASA KWA MASWALA NYETI YANAYOHUSU MSTAKABARI WA TAIFA KAMA VILE MALIPO YA DOWANS?
   
Loading...