Tatizo ni kuwa unamshambulia mtu badala ya kuwasilisha hoja, kumbuka NHIF ni taasisi inaongozwa na kusimamiwa na sheria.
Kama una hoja wasilisha hoja na sio mawazo binafsi.
Sio kama unavyodhani bali mimi nilikua muhanga kama wewe wa kuilaumu serikali na NHIF kuwa mbovu inatoa huduma kwa upendeleo, ila kumbe nilikua najidanfanya mwenyewe nilikua na biashara yangu nimeikatia bima, gari nimeikatia bima na hata nyumba nimeikatia lakini sikua na elimu ya umuhimu wa kuwa...
Mimi kama unavyofikiri ila nimenufaika na huduma za NHIF mimi na familia yangu ndio nimekuambia kuja na hoja za kama serikali ifanye nini ili wanachi wengi zaidi wajiunge na bima na kuwa na uhakika wa matibabu.
Yaani hivi kuwa na utamaduni wa kukata bima za afya kama vile tunapokata bima za gari...
Hapa ungekuja na hoja za namna gani watanzania waweze kujiunga na bima na sio NHIF tu, bali na bima zote.
Kwa sabb hizo takwinu za wenzetu wamefanyaje kufanikiwa wananchi wao kujiunga na bima ya afya ndio ingekuwa point ili kuweza kutoka hapa tulipo kama Taifa na sio kuendelea kutoa data hapa...
Aisee bora tuu umueleze ukweli sabb bila NHIF watoa huduma wengi watafunga vituo vyao, yaani kuna kituo X kipo mkoa Y nilikua naenda pale kupata matibabu kilikua na foleni hatari asikuambie mtu, lakini majuzi nkawa na homa nkaenda, kufika nakuta mabenchi yako wapi nkashangaa kulikoni, akaja...
Kiukweli niupongeze uamuzi wa NHIF kuanza kutumia fingerprint kwani ilikua kama shama la bibi, unakuta kadi moja inatumiwa na watu zaidi ya 10. Big up sana kwao udhibiti mzuri
Una hoja nzito lakini kama maoni yako ni halisi kwa nini usiwasilishe na vielelezo husika kwa mamlaka husika ili wachukue hatua kwa Mfuko. Sisi huku tunakusaidiaje?
Mkiambiwa matibabu ni gharama hamsemi halafu mkisikia NHIF imelipa malipo makubwa kwa gharama hizo mnaanza kuishambulia lazima tukubali kuwa NHIF wanajitahidi sana hata hapo walipo pamoja na kwamba michango haijawahi kupanda
Hili kuna wanaoona ni tatizo lakini wengine wanazaa kwa mapenzi yao kabisa na wamekubali kuwa single mama kwa sabb hawataki shuruba za kusumbuliwa kila saa kuulizwa uko wapi au ile kuomba ruhusa mimi nataka kutoa na mengine kama hayo.
Pili tatizo linaanzia katika malezi na makuzi ya mtoto toka...
Pole sana, kina mama wanapaswa, kuheshimiwa sana aisee, hapo ilikua ni mchana tu vip usiku wakati mama hata lipe la usingizi halali kwa ajili ya mtoto wake. Heshima kwao kina mama wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.