Recent content by tungatagaga

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

    Mwanamke haaminiki wakati wote na ndiye aliyemfanya Adam ale tundra.Kwa hiyo mwanaume anapooa achukue nafasi yake si Kila kitu Cha kumshirikisha mkewe
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Malasusa nia yako ni kuiua Chuo Kikuu Tumaini Makumira, miezi 3 wahadhiri na wafanyakazi hawajalipwa mishahara, mnategemea wanaishije?

    Yesu alimuambia Martha anashighulika na mambo mengi lakini Mariam amechagua jambo jema.Ningelipenda kanisa lijikite katika kuinua roho za watu katika kumtumikia Mungu tu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania Bara: Kwanini maeneo yenye Wakristo wengi yanaonekana kuendelea, huku yenye Waislamu wengi yakikabiliwa na umaskini?

    Sababu mkubwa za haraka haraka ni mbili Kwanza ukristo uliletwa na watu waliotoka ktk nchi zilizoendelea na kuanzisha shule sehemu walizokaa. Imani waliyoifundisha ni ya kuwafumbua macho kwamba Kuna Mungu mmoja wa kweli ambaye alimtoamwanaye awe kipatanisho wa dhambi tulizomkosea na hivyo kupata...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha

    Wafundishe watoto wako kuwa na upendo kwa watu wote ili ukiondoka abaki na ndugu wengine uziowazaa.Nani alikmbia watoto uliowazaa ni lazima wapendane na kusaidiana?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dunia inafahamu ukweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Lissu ameiambia Mahakama akipatikana na kesi anyongwe mpaka kufa asipopatikana na kesi aachiwe huru

    Sidhani kama ana kosa la kunyongwa lakini kama italazimishwa,maana ya maneno Lisu ni kwamba hata ukitokea msamaha ameukataa akiwa hai
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo Watanzania hawajajua kosa la Nchimbi ni lipi?

    Wananchi wanaomwona Nchimbi hana kosa wako sahihi kabisa.Kwa sababu maneno aliyowahi kutamka hayakuhusu Wana ccm pekee bali watanzania wote.Hakusrma Wana ccm pambanieni katiba mpya.Unless Kuna kosa tusilolijua.Habari ya kinyangnyiro Cha urais hayawahusu kwa sababu wananchi ndiyo wanaoamua yupi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO, hongereni kwa kujiandaa na Mvua za Elnino, mmesema umeme hautakatika

    Hivi karibuni nilisikia kutoka kwa mmoja wa viongozi wa shirika hili akisema wamejiandaa kutokatika umeme wakati wa mvua za elinino. Kabla hamjapokea hongera zangu, inawezekanaje huko nyuma umeme hukatika hata ktk mvua za kawaida? Je mnatuahidia pipi kama watoto wa chekechea? TANESCO Pia...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Shemeji wa makamu wa Rais alamba uteuzi, mashalaah

    Mwalimu Nyerere alikataa hata watoto wake kuchukuliwa na gari za serkali ziwapeleke skuli,;alitaka wapande mabasi ya umma kama wanzao.RIP mwal.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Taifisheni mabasi yote yaliyogoma kufanya kazi Leo hii ni hujuma dhidi ya uchumi wetu

    Taifisheni mabasi! Hizi kauli za kibabe.Kabla ya operation ya lessen trafiki ilipasa kuelimisha na kushirikisha wadau wa viombo vya usafiri.Hivi karibuni serkali imeondoa utaifishaji wa mifugo kwa sababu ya madhara yaliyotokea
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, unamjua Godfrey Msongwe Kasekenya

    Ila katulet down huku kwetu kinyerezi zimbili anakoishi Barbara pekee iliobaki changarawe ila si mhuni kama tunavyomwona
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Fuata ukweli ili uwe huru.Pengine Mungu kaamua kukufunulia ukweli maana kaona wewe nimwaminifu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia anahitaji sana maombi, Kanisa halina sifa na halipaswi kunyoosha kidole

    Mungu yupi atasikia maombi katika Taifa lililogawanyika hivi?Kwanza sikilizeni kilio Cha wananchi na kuwachilia wanaowatetea
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Lissu kwa kuwapasulia mahakama ukweli: kesi ilitakiwa kufutwa siku ya kwanza imeletwa mahakama kuu.

    Nyi hamuoni hata magereza hawamsukumi sukumi akiingia na kutoka mahakamani kama mwanzo?.Nadhani wametambua kitu hapo
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Lissu amalizia majumuisho Mahakamani - 24/9/2026

    Nilichokiona hivi karibuni ni askari wa magereza kupunguza hostility dhidi ya Tundu Lisu kama ilivyokuwa mwanzo
  15. T

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo ulienda kufanya nini kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme?

    Maafa kwa sababu za mazingira huchukua muda mrefu.ni mapema mno kuwabanga waliokinyume na mradi huu,yaliyotokea Nepal hakuna aliyeyategemea watu walikua wakila na kunywa.kuoa na kuolewa.lakini Saa ikafika ya kusaga meno bila msaada
Back
Top Bottom