Serikali inataka kutujengea viwanda, tutapata ajira huko huko kwenye viwanda...tuwe watulivu tu maana tuliunga mkono....na ukondoo wetu ndo unatufikisha hapa tulipo!
Hapa sio tunakaa na kubishana upumbavu, Mwanakijiji, tuambie, hizo assessment mnazoongelea, mikakati gani imewekwa ili kuhakikisha haichakachuliwi ili tu shule ifaulishe????? Na je mtoto akipata mtihani wake wa darasani "ZERO" nayo tuipe jina gani?
Mimi nataka mtuambie basi kuwa duniani HAKUNA...
Makamu wa rais wa kwanza Zanzibar amesema kuwa anataka serikali ya
Tanganyika na Zanzibar ziwepo na ziunde Nchi moja ya Muungano ya
Tanzania. Muungano hautakufa kama wanavyodai wengine!
Ameyasema hayo kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa ITV siku ya
jumatatu usiku.
Dah! kweli ndo umuhimu wa kuwa na forum kama hii, hivi wewe umeambiwa kuwa wana-UDSM wanalipia kitanda kwa siku? Usifikirie kuwa kila mtu mwenye simu nzuri chuo basi kapitia hayo maisha, wengine ni choka mbaya toka kwao so no way lazima asome tu, so long as analipiwa ada kulala sio ishu! Poleni...
Jamani, kaeni mjue kuwa Kitu chochote kinachohusiana na neno CHADEMA, lazima CCM wakiseme tu! Mbona hamuulizi akina DOVUTWA, LIPUMBA, nk ila ni SLAA tu?????? Jamani, JK kuhudhulia misiba ya wasanii sio hoja kabisa hiyo. Kwani anahudhuria yote? mbona ningine haudhurii?? Inamaana asiyohudhuria...
nafuatilia mjadala star tv sasa hivi, mwigulu nchemba amesema anaomkanda wa video unaoonesha jinsi CHADEMA wanavyopanga mauaji ya raia kwenye mikutano yake; Mimi namtaka aiweke wazi hiyo mikanda ili tuone na tutoe mawazo mgongano kwa wananchi kuwa nani hasa anaua kati ya POLISI NA CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.