Recent content by tundatamu

  1. T

    Vipomo vya HIV kwa wajawazito viambatane na DNA test kupunguza wanawake na watoto kunyanyasika.

    Nimekuwa nikitafakari mara nyingi ninaposikia habari za kusingiziwa mimba watoto, kwangu mimi naona ni jambo gumu na linahitaji moyo wa ajabu kumsingizia mtu mimba au mtoto. Matokeo na tafiti za uzazi na DNA ninazozisikia naona zinalete hofu na wasiwasi katika mahusiano na familia nyingi...
  2. T

    Wanaume kanda ya ziwa hawawezi kupenda mwanamke hata aweje.

    Sina hakika kama umenielewa mimi nimeandika na nimeeleza wazi kwamba ni kufuatana na yale yaliyotamkwa na wanajumuia kwenye kikao. na hayo makabila nimetaja kwa kufuata member wa hicho kikundi.. naelewa kanda ya ziwa kuna makabila mengi. mume wangu sio tatizo lililonifanya niandike hii habari...
  3. T

    Wanaume kanda ya ziwa hawawezi kupenda mwanamke hata aweje.

    Jana nilikuwa kwenye kikao cha wamama wa kanda ya ziwa,(wazanaki,wajaluo,wakurya,wajita) kufuatana na kundi letu. mimi sio wa kanda ya ziwa ila nimeolewa na mwanaume wa kanda ya ziwa hivyo tunakawaida ya kukutana na kusaidiana, Kuna mwenzetu aliletewa kidumu ndani na mume wake akimlazimisha...
  4. T

    Maisha ndivyo yalivyo

    Du! pole sana, abarikiwe baba mchugaji. marehemu bibi na wote wanaokufanya uwe hapo ulipo leo. Uzidi kumpenda mkeo na familia yako. wanaume wengi wamekua bila kuwajua baba zao,wamelelewa na mama wa kambo na ndugu tena kwa shida lakini huwa wanajisahau na kutengeneza watoto wa kambo wengi...
  5. T

    Namchukia sana mume wangu!

    Jamani nilimpenda sana mume wangu, niliijali familia yangu,nilijitahidi kufanya majukumu yangu kama mke na mama kwa furaha kwa ajili ya familia yangu, naheshimu ndoa yangu, niliwachukia watu waliokua walioniletea umbea kuwa mume wangu hajatulia,maana kila nikimuuliza alinijibu ukisikiliza ya...
  6. T

    Nisaidieni nikoe ndoa hii.

    Jamani nina kaka angu ameishi na mwanamke mpaka wanawatoto wawili hajafunga ndoa, mwezi uliopita kaka akasema anataka kufunga ndoa na mkewe tukaenda kwao na wifi kutoa mahari. Juzi wifi kapata habari kuna dada ambaye ni x-girlfriend wa kaka anamimba ya kaka. wifi amekata tamaa siku mbili tu...
  7. T

    Utajisikiaje ukijua umemletea mumeo/mkeo UKIMWI?

    alipima na alikuwa salama mpaka anajifungua ameambukizwa baada ya kujifungua. na mtoto ameambukizwa kwakuwa alikuwa ananyonya.
  8. T

    Utajisikiaje ukijua umemletea mumeo/mkeo UKIMWI?

    Utajisikiaje ukijua umemletea mwenzio UKIMWI au Magonjwa ya zinaa hali yeye alikuwa ametulia? Kama ni mama yawezekana alikuwa ananyonyesha na mtoto alizaliwa mzima lakini baadaye kwa kuwa bado ananyonya na yeye anaathirika. Imemtokea jirani yangu ni mama alijifungua akiwa salama na mtoto alikuwa...
  9. T

    Mishahara ya walimu kulipwa kutokana na vyuo walivyosoma?

    Tatizo waliosoma vyuo vya kata hawajiamini wawapo kazini hata akiulizwa umesoma chuo gani anajibu kwa hofu, na wengine ni vilaza kweli wamebeba ma GPA makubwa hawana confidence ya kuyatumai, mlolongo wa namna alivyosoma ameunga ni balaa ana vyeti 3 vya olevel 2vya Alevel.hasa hao walimu sio wote...
  10. T

    Hivi hii ni ishara ya kunichoka au?

    hata usipouliza akifika mezani utamsikia du nilijua leo umepika makande kumbe ugali, hawanaga jema hawa wakiulizwa shida wasipoulizwa matatizo.
  11. T

    Hivi hii ni ishara ya kunichoka au?

    walewale!!!mwambie pia ajiandae kuachana na mkewe atapojua hilo, usisahau na ukimwi na kuzaa watoto wa nje tena wanaokuwa na baba zaidi ya mmoja , raha sana chezea vidumu ninyi?
Back
Top Bottom