Recent content by Tuna

 1. Tuna

  Niko Morogoro, nina bajeti ya mil 2,500,000/= nahitaji gari ndogo ya kutembelea

  Nenda Masika mtafute mshkaji anaitwa Kuty Fela atakupatia Gari hata kama una Milioni unusu.
 2. Tuna

  Urusi yaijibu Marekani kwa kuwatimua wanadiplomasia wake

  Wanaume wanajibu kwa vitendo,Jino kwa jino.
 3. Tuna

  What foreign aid means to Africa

  Hakuna cha Bure Dunia hii kila mtu anaangalia Maslahi yake.
 4. Tuna

  Marekani yaiwekea Uganda vikwazo vya kusafiri, yasema uchaguzi ulichakachuliwa

  Wamarekani kweli Kidonda Ndugu,Wao wanafikiri Marekani ndiyo nchi bora sana Duniani.Pumbavu zao
 5. Tuna

  Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

  Mama zetu nao wana Roho ngumu sana Sumtime,Kumchinja mtu kwa Panga mpaka anadedi inataka Roho sana.
 6. Tuna

  Marekani mbioni kuweka vikwazo vipya dhidi ya Urusi

  Marekani nao waache Uchoko maji kila kitu wao vikwazo tuuuu,.Kama mnayaweza ingieni vitani siyo kuchimba biti tuuuu mpaka tumechoka.
 7. Tuna

  Manyara: DC mstaafu amshushia kipigo mkewe, nyumba ndogo yatajwa kuwa chanzo

  Siyo kila ukivaa Shela unaita ndoa,Nyingine ni Ndoano.
 8. Tuna

  Naombeni ushauri kwa aina hii ya mbwa

  Hongera we unaewajuwa Mbwa.
 9. Tuna

  Meet 24-Year-Old Kenyan Working in Biden’s White House Office of Digital Strategy

  Hongera kwake Joy Ngugi,Sema ameanza kwa Step naona atafika mbali sana.👣
 10. Tuna

  Naombeni ushauri kwa aina hii ya mbwa

  Mbwa ni matunzo tu ukitaka awe koko atakuwa koko,.Nb Huyo Mbwa ni German Shepherd sema sema Mzingatie Misosi na matunzo baada ya mwezi mmoja lete mrejesho.
Top Bottom