Recent content by Tumilaujanja

  1. Tumilaujanja

    sifa za kupata chuo cha afya ngazi ya cirtificate

    inawezekana aende akasome pharmacy maana wametoa kigezo cha physics kwa intake ya September
  2. Tumilaujanja

    Je, aliyesoma CBG anaweza kusoma doctor of medicine

    hicho kitu hakipo labda advance awe amesoma CBN OR PCB
  3. Tumilaujanja

    Je, aliyesoma CBG anaweza kusoma doctor of medicine

    unaongea kitu ambacho huna uhakika mkuu ,unajua physics kwenue medicine wana apply sehemu gani? Hebu toa reason why haina umuhim physics kwenye medicine
  4. Tumilaujanja

    Je, aliyesoma CBG anaweza kusoma doctor of medicine

    kozi zote za afya kigezo cha physics kina zingatiwa yaan private na government pia ,ila pharmaceutical science ndo wameitoa physics
  5. Tumilaujanja

    Nimepata mpenzi Jf

    asante kwa wimbo ulio bora
  6. Tumilaujanja

    Jamaa yangu kadata kwa penzi moto la jimama

    Ukub Ukubwa dawa asee!!!
  7. Tumilaujanja

    Hivi hili jambo la vyeti linakaaje?

    Mi mwenyew kioi Mi mwenyew kipindi nipo chuo nacte walihitaji vyet kwa ajiki ya uhakiki vilipelekwa nacte vilirudishwa baada ya mwezi mmoja ,ila hio ya kurudishiwa vyet mwakan mi naona hapo ni uwongo kabsa aseee!ni kitu ambacho hakiwezekani .
  8. Tumilaujanja

    Kizungumkuti cha mahusiano

    Pamoja mkuu!
  9. Tumilaujanja

    Kizungumkuti cha mahusiano

    Unatka nifuate ala zote za uandishi mkuu?
  10. Tumilaujanja

    Kizungumkuti cha mahusiano

    Blurred vision,comment ulipo paelewa
  11. Tumilaujanja

    Kizungumkuti cha mahusiano

    Ulipopaelewa comment hapo hapo twende sawa!
  12. Tumilaujanja

    Kizungumkuti cha mahusiano

    Yaani ,sijajua kama ndo sababhu,au ndo kalogwa sijui yaan
  13. Tumilaujanja

    Kizungumkuti cha mahusiano

    Mwenyewe hata sielewi ni kwa sababu ya buku au nini, yaan kanuna ni balaaa
  14. Tumilaujanja

    Kizungumkuti cha mahusiano

    Pamoja mkuu
Back
Top Bottom