Wanajukwaa naomba tujuzane sifa za kupata chuo cha afya kozi yetu ya nursing au health community ni zipi
siku hizi hakuna cha D....wanataka uwe na C mbili za sayansi na kuendelea...then ukifika chuoni ndo unachagua mwenyewe uwe certificate upige two yrs au upige diplo 3 years.....imeanza mwaka janaKwanza uwe na at least D ktk masomo yafuatayo ...physics, chemistry, biology, mathematics na English
Je ukiwa na F ya Chemistry ila masomo mengine fresh, je unaweza apply?siku hizi hakuna cha D....wanataka uwe na C mbili za sayansi na kuendelea...then ukifika chuoni ndo unachagua mwenyewe uwe certificate upige two yrs au upige diplo 3 years.....imeanza mwaka jana
yani vigezo ni C C D.....hapo ni kati ya physics chemistry na biology.....kipaumbele kwa mwnye D ya englishJe ukiwa na F ya Chemistry ila masomo mengine fresh, je unaweza apply?
Kabisasiku hizi hakuna cha D....wanataka uwe na C mbili za sayansi na kuendelea...then ukifika chuoni ndo unachagua mwenyewe uwe certificate upige two yrs au upige diplo 3 years.....imeanza mwaka jana
Je kama HAJASOMA Physics na Chemistry still anataka kusomea afyaKwanza uwe na at least D ktk masomo yafuatayo ...physics, chemistry, biology, mathematics na English
HAIWEZEKANIJe kama HAJASOMA Physics na Chemistry still anataka kusomea afya
inawezekana aende akasome pharmacy maana wametoa kigezo cha physics kwa intake ya SeptemberJe kama HAJASOMA Physics na Chemistry still anataka kusomea afya