Recent content by TUMI EPAFRA

  1. T

    GE2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

    Haogopi kifo mpaka baada ya uchaguzi atawadanganya mafala anaogopa na kukimbia kesi yake. Kaja kukusanya ruzuku tu lol.
  2. T

    Since when Trump cares about Tanzania after banning us to get US visa?

    Kwa sabau ya ukweli wake? Huwezi kukimbia ukweli, kuna post za kitoto hapa kuliko mtandao wowote, mpaka kichefuchefu, ila uzi huu ni wa kiutu uzima, wa wale wenye intelligence na wako intellectual.
  3. T

    Since when Trump cares about Tanzania after banning us to get US visa?

    Tanzania is sovereign country, we are not a colony no more, we have our sovereignty. Otherwise remove all sanctions against Russia for your speculations of interference in your democracy. More you interfere more we like Magufuli, get that. Since when you even care about Africa never mind...
  4. T

    GE2020 Vurugu za Siasa ni za wendawazimu wasiopenda nchi yao na watu wake

    Utakuwa upumbavu wa hali ya juu kufanya vurugu za kisiasa, kupigana na kupoteza maisha kwa ajili ya mtu mmoja au wachache wapate wadhifa wa kula na kuishi vizuri zaidi. Upumbavu huu umefanyika nchi nyingi, lakini mfano mzuri ni Libya ambako wanajuta kumpindua Gaddafi. Yani wao wakae makwao...
  5. T

    Kwanini utegemezi wa Ulaya wa Wapinzani ni hatari kwa Nchi yetu na uhuru wetu?

    Urafiki na utegemezi ni vitu viwili tofauti sana.
  6. T

    Kwanini utegemezi wa Ulaya wa Wapinzani ni hatari kwa Nchi yetu na uhuru wetu?

    Ukitaka kutawala watu wafanye wategemezi kwako. Kutegemea mtu ni kuuza uhuru wako, inakupasa kufanya yote anayokutaka ufanye ili ulipe deni lako au kupata msaada wao. Inasikitisha sana mpaka leo kuna waafrika wanao wategemea na kuwatukuza wazungu wenye nia moja tu, ya kututawala na kutunyonya...
  7. T

    Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

    Hii inathibitisha CHADEMA inataka madaraka ili ile nchi, inathibitisha nia yao ya madaraka ni pesa kwao sio kwa wananchi, hawajali hata kujenga ofisi kuu ya chama, watajali vipi kujenga nchi yetu. Tazama video hii ya mwana CHADEMA anavyochambua chama chake, sio mwana CCM ila CHADEMA.
  8. T

    Uelewa wa Lissu kwenye uchumi ni mdogo

    Mbona sasa anatoa mipango yake bila wataalamu? Maamuzi kama ya kuongeza mshahara ni ya rais na ameonyesha na kuthibitisha hana elimu ya kuongoza nchi wala busara.
  9. T

    Katambi: Lissu ni mwehu namjua vizuri atauza nchi asubuhi kweupe, kama anabisha ajitokeze hadharani

    Uko bara gani wewe bila kujua ukoloni mamboleo, ulienda shule gani?
  10. T

    Katambi: Lissu ni mwehu namjua vizuri atauza nchi asubuhi kweupe, kama anabisha ajitokeze hadharani

    Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba. ------ Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania...
  11. T

    GE2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

    Mnazidi kuthibitisha wehu wa wana Chadema.
  12. T

    GE2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

    Kwa fikra zako unafikiri Lissu atawaajiri wote? Hakuna Rais wa kutatua ajira ila wananchi wenyewe kwa kuanzisha biashara na viwanda kama Mo Dewji. Watanzania lazima waelewe Ulaya watu wamesoma kuanzisha biashara na viwanda kuajiri wengine ndiyo maana wana nafasi zaidi za kazi, hata hivyo ajira...
  13. T

    GE2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

    Wewe unafikiri karopoka tu mbele ya wanafunzi wote?
Back
Top Bottom