Recent content by tumebarikiwa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

    Huko kwa mwamposa huwa hamtoi sadaka?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

    Wewe kaka inaonyesha Mwakasege ni tishio sana kwako..au wewe ndio Mwamposa??? Kwanini unamfatilia mtu usiyemkubali? Naona unakazana sana kumpaka matope Mwl Mwakasege ili na wengine wamchukie...nafikiri Mwakasege anawanyima usingizi nyie kina mwamposa. Mmemshindwa rohoni sasa mnakuja...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

    Nauza Duka la viatu nguo na vifaa vya cherehani
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

    Mkuu hongera Sana. Umenitia moyo na Mimi. Mimi ni graduate, ninajishughulisha na biashara za uchuuzi. Kutokana na biashara kuwa ngumu na unakuta kuna siku unakaa masaa hata mawili bila kuona mteja......nikafikiri nifanye nini kwenye huu muda unaopotea bure? Ndipo nilipojitosa kununua cherehani...
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

    Kama wewe ni mkristo, funga siku 3 Kwa maombi ya toba. Mungu ni mwenye rehema. Yasiyowezekana Kwa mwanadamu kwake yanawezekana. Muombe akutoe kwenye huo mtego kisha katoe sadaka Kwa yatima au wajane then nyamaza kimya uone atakachotenda
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

    Ndani yangu nahisi hii NI vita ya kiroho juu ya uchaguzi 2025.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Niongeze bidhaa gani kwe frem ?

    Uza gesi.. Wakala wa simu..
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Afisa usalama

    Hongera Sana mtunzi
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Story nzuri sana
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

    Na Mimi nashukuru Mungu msichana wangu wa kazi wa Kwanza nilihakikisha anatunza mshahara mpaka kununua cherehani yake halafu Mimi nikamlipia Ada ya mafunzo.....ingawa aliondoka Kwa jeuri lakini baadae alirudi kuomba msamaha. Sasa yupo kijijini amekuwa single mama na kazi ya ushonaji inamsaidia...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa

    🤣
Back
Top Bottom