Recent content by TumboMbele Hali

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Tanga to Pangani
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ziarani mkoani Tanga

    Anakuja kufungua vitu kama hivi.
  3. T

    JamiiForums Tanzania MJADALA MAALUM: Kila Halmashauri/Manispaa itakiwe kuwa na EMS na Fire Brigade yake?

    Kuna haja ya makusudi kabisa kuwa na zimamoto kila halmashauri ya wilaya. Hivi karibuni hapa Pangani kuna gari iliungua moto mpaka ikawa majivu wakati tunsubiri zimamoto itoke Tanga umbali wa kilomita 50.
  4. T

    JamiiForums Tanzania CUF wapeleka barua Ikulu ya kuonana na Rais

    Wanakwenda kumwambia Rais akiteua wajumbe wa Tume wawe kutoka bara nusu na visiwani nusu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete asaini Muswada wa Katiba

    Katiba hii inayopigiwa kelele baada ya miaka 10 itahitaji marekebisho ya katiba kwa sababu inatungwa na wanadamu. Lakini katiba ya mungu leo ni miaka 1433 haihitaji marekebisho yoyote. Mungu anatunga sheria, binadamu wanajiwekea kanuni na masharti. G9t.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hatimae Nimeamua Kujiunga Rasmi.

    Hilo Jina lake ni ufupisho wa timu ya soccer ya Middlesbrough ya Uingereza...just saying.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete asaini Muswada wa Katiba

    Niliposema CCM nilikua namaanisha Christian Church Movement just like CDM ni Christian Democratic Movement. It's lovely.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete asaini Muswada wa Katiba

    Niliposema CCM nilikua namaanisha Christian Church Movement just like CDM ni Christian Democratic Movement. It's lovely.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete asaini Muswada wa Katiba

    Mahakama ya kadhi iliyofutwa kwa mate ilikua ya mambo matatu tu, mirathi, talaka na ndoa. Mahakama waliokuwa wakiitaka waislamu ni ya mzinifu kupigwa mawe mpaka afe, mwizi kukatwa mkono n.k CCM ikawashinda.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hodi

    Hodi...hodi...hodi...kodi
Back
Top Bottom