Msongo siyo sababu ya Msingi.Hebu fanya utafiti mdogo wa umri Kati ya wake na waume. Wengi wetu tunaoa wanawake tunaowazidi umri kwa zaidi ya miaka 10. Sasa kibaiolojia hapo nani anakufa mapema?
Kama umesifia hatua yake ya kuiepusha nchi na umuflisi kwa mradi nyonyaji, basi huwezi kunizuia kuamini huenda ww ulikuwa unaingiza madawa ya kulevya ama ulikuwa unafaidika na wafanyakazi hewa
Hata wakati Daraja la mto Rufiji linaanza kujengwa mlisema hivyo..ooo..wakandarasi wamegoma. Oooo mara hakuna kinachofanyika...kumbe ground work inaendekea m.m
Hata tukilimia meno,.lakini nchi inakwenda. Ukitaka kujua nenda mikoani siyo ktk mitandao au mikoa ya kaskazini. Nenda Tabora mpaka Sumbawanga na Katavi utaona uzuri wa kulimia meno
Mbona timu yake ya Taifa ya Argentina inapigwa katika mechi za kombe la Dunia? Au huyo huwa Mesi wa kuchongwa? Barca ni nzuri sababu ya combination ya wachezaji wengi wazuri bhana.
Kwa hiyo ninyi mlitaka muendelee kupiga hela kwa kuuza madawa ya kulevya siyo? Yaani kwa maneno ya laana mnayonuizia tangia mzee Baba aanze kazi angeshapigwa na radi. Lakini wapi..kwa kuwa anawatumikia viumbe dhaifu wa Mungu ataendelea kuishi mpaka Mungu Mwenyewe atakapoamua...mnamtakia mzee...
Sasa mbona hujataja vigezo vinavyoonyesha uchumi umeshuka? Hivi mishahara ilipoongezwa wakati wa JK kulikuwa na mabadiliko gani kama si bidhaa kupanda na kusababisha maisha kuwa magumu zaidi? Acheni na watanzania wasiolipwa mishahara nao wafaidike kwa kuboreshewa miundombinu ya kuboresha maisha...
Wewe ndugu una roho mbaya na ya kimaskini kupindukia..Badala ya kutoa mawazo ya kusustain hiyo miradi ikikamilika wewe unaomba Mungu isikiamilike na ikikamilika iwe white elephant. Kama ni raia wa kigeni ni vema urudi kwenu na kama ni kizazi cha wageni labda hawapo Duniani uliza nchi ya wazee...
Wewe utajuaje mambo ya HGL AU HJK wakati hukusoma hayo masomo. Acha dharau wewe...pambana na hali yako..A level ni A level na.O level ni O level..bila kujali Combination..
Hawa ni wasanii..Hii ni episode ya kutumikia mbali Ruto ktk kugombea Urais 2022. Kenyatta is very cunning..alimtumia Ruto kupata kura za wakalenjin sasa amesalitiwa na Kenyatta na urais atausikia redioni. Kenya Presidency is for Kikuyus only..
Hao hapa ni wageni..hawana impact yoyote. Tunaongelea wazbr ambao ni watz..yaani hawa haitakuwa rahisi kuwatenga na watz bali tutakuwa nao lkn wakiwa maadui wetu wakubwa...hivyo hakuna jinsi..tuvumiliane.Tungekuwa tunaweza tungeibeba Bara yetu tukakae mahali tuwe mbali mno na Visiwa hivi lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.