Sikuelewi baba BOGA, anesimamishwa hapo ni nani MTUMISHI au UMMA unasimamishwa.
mfano wewe ukiwa mwenyekiti wa tawi wa ccm ukijampa hadharani ccm ndio inakuwa imejampa au wewe baba boga umejampa, dah wtz bado tuna kazi ngumu kufika pale.
UNA UNAUHAKIKA?
Nakuuliza swali,aliweza vipi kulipia mishahara bila kuyumba,kulipia miradi mikubwa aliyoianzisha,elimu bure,kujenga hospitali zote mpya unazoziona leo,madawa,kuongeza mikopo ya elimu ya juu, kununua ndege keshi,na bado janga la uviko likapiga bila kutuathili sana lakini bado...
HAKUNA JAMBO LINALOUA NCHI YETU KAMA UNAFIKI WA KUFUNGIA FIKRA ZETU ILI UONEKANE UNA ADABU MBELE ZA WATAWALA, WANAO FANYA HIVYO WANACHUCHUMILIA VINONO VILIVYO MEZANI PA WATAWALA WANAFIKI DHIDI YA DHAMIRI ZAO NA NCHI YAO.
Uhitaji wa wananchi? wananchi wapi hao? wa CCM au wa Tanzania? Brother anaeogopa wagombea huru ni CCM sio wananchi wa Tanzania.
Kati ya maamuzi tata ya mahakama ya rufani ya Tanzania na yatabaki kwenye historia ni pale ilipokwepa wajibu wake wa kuhukumu kesi na kuirudisha iamuliwe na wanasiasa...
Mbona askofu alisema walikuja kanisani,wakasali kwa utulivu sawa na waumini wengi kisha wakakamatwa kwa kosa la kuvaa sae za CHADEMA!!! ni hilo tu, ila sina uhakika wa polisi kupata shahidi alie mwaminifu,simtarajii askofu kwenda kuangamiza kondoo wake!!
makosa ya makonda huyajui? vipi ule ujambazi wa Clouds Media huo tuunatosha je mengine ambayo watu wamekaa kimya,na huwa nacheka sana nikikumbuka kupimana mkojo kuliishia wapi! hahahaha bongo bwana dah
"nor group of individuals be privileged over others"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Spika wa Bunge la JMT, Jaji Mkuu wa JMT, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, mnaweza kuwataja niliowaacha ''is it a group or not?'' na maanisha hiki ni kikundi au la? ok umesema '' hakuna kikundi cha watu...
Sawa kwani wasiwasi wako ni nin? si mmesema ushahidi upo tele wala hamja bambika mtu safari hii! kwanza kwa kuwa serikali inatuhumiwa na umma kubambika ingefaa for the public interest the case should be televised.
weh, hamna bwana ulisimamishwa kupisha uchunguzi na baadae kesi bado ni mwajiriwa wa umma hadi hukumu amabyo ni sawa endapo hatapatikana na hatia anapaswa kulipwa mishahara yake yote hadi siku ya hukumu,serikari itabidi imstaafishe au kumpa majukumu mengine. kimsingi bado ni mtumishi wa umma ila...
Baba umesahau nikiliandika kiukweli ukweli mabeyo na vijana wake nitawaweka wapi maana hapa sabaya alikuwa amemsogelea cm chache sana kwa kuongeza ka umbali haina shida.
Hahahaaaa,mwenzio alichukua hiki cheo,
LIEUTENANT GENERALLY LEIGWENANI LENGAI OLE SABAYA.
yeye ametwaa kipi tusije tukakose kumtaja ikawa shida
hahahahahhah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.