Hii ni moja ya secret mission itaishituwa dunia nayo ni Iran down it will take long but huwo ndio mwisho wao utakuwa. Shida ni moja Iran wanapania kulipiza wakati pia ktk giza Israel na washirika wake wana apa hakuna mtu ktk familia ya wanao wapinga Ataishi. Hii story inajirudia kama chama chs...
Mungu anaonyesha uwenda Taifa likapata mtikisiko mkubwa hivyo kama mtanzania ombea Taifa lako ombea idara zake na miimili yake. Dalili zinaonyesha upepo mkali kutoka mashariki na magharibi ,kasikazin na kusini utalipiga Taifa maombi ndio silaha pekee kupooza upepo huu mkali utakao ng'oa nguzo...
Mungu kuna kelele nyingi za kuogofya ila wewe utabaki kuwa Mungu.
Iwe ni kwa sumu iwe ni kwa risasi tunaomba Taifa letu lisiingie kwenye majonzi sababu ya Dr Mchimbi tunaomba umtunze na umfunike kama ulivyo mfunika Daniel mbele ya watesi wake.
Kifo anazushiwa au kuandaliwa kisimkute wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.