Ndugu ni kweli, huo ndio utaratibu wao,
Aidha hata mwanangu anasomea hapo,,,,,,lakini Huduma wanayo toa, ni Huduma zuri sana,,,,,jamani mpaka ijumamosi watoto wanasomeshwa,,,,Taqwa kufikia mwezi wa nane wanakuwa wamecover slabi za masomo yote,,,,,Taqwa ni miongoni kwa shule bora ,,,,Na...