Recent content by tumain ernest

  1. T

    Msaada maombi ya ualimu 2022

    Niwapigie akina nani?
  2. T

    Msaada maombi ya ualimu 2022

    Kuna baadhi ya kozi hazionekani kama Diploma in Physical education haipo je walioomba physical education wamefanyaje?
  3. T

    Uwakala wa NMB, CRDB,NBC nk na M-PESA, TIGO PESA , AIRTEL MONEY nk

    Iv nikiwa sehem yeny mzungko mzr kwa huduma zte yaan mabenk na mitandao ya cm kwa makadirio y chin comission inaweza kua shngap kw zote jumla?
  4. T

    Uwakala wa NMB, CRDB,NBC nk na M-PESA, TIGO PESA , AIRTEL MONEY nk

    Asant sn mkuu km nikiwa sehem yeny mzunguko mzur wastan wa comission unaweza kua shingap kwa huduma zote hizo apo juu yn mabenk na mitandao ya sim
  5. T

    Uwakala wa NMB, CRDB,NBC nk na M-PESA, TIGO PESA , AIRTEL MONEY nk

    Naomba mwenye uelewa anisaidie nataka kuanzisha biashara km ilivyoelezw hapo juu je n hatua gn z kufata? Je changamoto zkoje? Na faida zkoje? Kwa maana comission zkoje?
  6. T

    Kuanzisha na kusajili chuo (college/institution)

    Vyuo kada nyingine hasa chuo cha ualimu na kozi nyingine
  7. T

    Kuanzisha na kusajili chuo (college/institution)

    Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujenga na kusajiri chuo vigezo vinavyohitajika na Mamlaka zinazohusika kusajiri
  8. T

    Ufafanuzi biashara ya Uwakala NMB, CRDB, M-PESA n.k

    Je shi ngapi inafaa kuanzia kama mtaji?
  9. T

    Ufafanuzi biashara ya Uwakala NMB, CRDB, M-PESA n.k

    Sawa vipi mtaji wa kuanzia? Na vipi ina faida kiasi gani?
  10. T

    Ufafanuzi biashara ya Uwakala NMB, CRDB, M-PESA n.k

    Naomba mwenye uzoefu na biashara ya uwakala wa bank na huduma nyingine za kifedha kama M-pesa nazingine naomba kujua mtaji wa kuanza nao na makadirio ya faida ambayo hupatikana kwa mwezi.
  11. T

    Tatizo la nguvu za kiume kuzidi kwa kasi

    Naomba msaada sababu nina tatzo la kuongezeka kwa nguvu za kiume kupita kiasi. Yaani nakuwa na nguvu nyingi za kiume kupita kawaida. Please naomba msaada.
Back
Top Bottom