tumain ernest
Member
- Feb 24, 2011
- 26
- 8
Naomba mwenye uzoefu na biashara ya uwakala wa bank na huduma nyingine za kifedha kama M-pesa nazingine naomba kujua mtaji wa kuanza nao na makadirio ya faida ambayo hupatikana kwa mwezi.
faida ni wateja/mzungukoSaw vp mtaj wa kuanzia? Na vp inafaida kiac gn?
Una uhakika? Kwa mtaji wa tsh ngapifaida ni wateja/mzunguko
ukiwa eneo zuri 1M kima cha chini mpaka 6M mwezi
14MUna uhakika? Kwa mtaji wa tsh ngapi
Mmmmmmh!!!! Sasa kama mtaji ndio huo basi jamaaa ashafeli14M
eneo mheshimia nazani umenielewa
Hapana hata 5M inatosha na pia chini ya hapoMmmmmmmh!!!! Sasa kama mtaji ndio huo basi jamaaa ashafeli
Kuwa makini biashara ya uwakala unapoianza watapeli hawakosekani kukufunza biashara... Ili unielewe vizuri zembea ili ujifunzeNaomba mwenye uzoefu na biashara ya uwakala wa bank na huduma nyingine za kifedha kama M-pesa nazingine naomba kujua mtaji wa kuanza nao na makadirio ya faida ambayo hupatikana kwa mwezi.

Pesa bandia zinasambazwa sana kwa wakala wa hawa, maana sio kila hela unaweza istukia
Taa za zambarau ndo nn?Hamjui matumizi ya taa za zambarau?
Taa za zambarau ndo nn?
Umetoa msaada ila sema umesema kidharauTube light za rangi ya zambarau, ukiweka noti chini ya mwanga wake unagundua uhalali wake
Umetoa msaada ila sema umesema kidharau