Recent content by Tuliponga

  1. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumempa kazi Lowassa

    CCM watajuta kumpoteza Lowassa.
  2. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA wanaweza kutumia muda wote kuwajibu Mkapa, Mwinyi na Makongoro

    Hakuna mwenye haja ya kupambana na Magufuli mgombea wa chama kilicho kufa,tunamsubiri tarehe 25 October tumzike pamoja na marehemu CCM.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Watalamu ugonjwa wa ndonda ni ugonjwa gani?tiba yake nini.

    Tumbo langu linajaa gesi na kunguruma,nikienda kujisadia kinachotoka ni upepo pamoja na kinyesi cha kukatakata ambacho kinaambatana na makamasi. Baada ya kupimwa nikaambiwa kuwa nina vidonda vya tumbo na ndonda,vidonda vya tumbo ni vya muda mrefu na nilikuwa ninajitambua kuwa ni navyo. Tatizo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Nafuu Lowassa aliyeanza kuleta maigizo maana yatawafanya watanzania waburudike na kuwaongezea siku za kuishi kuliko Magufuli anaetaka kutuletea majanga kwa kutushawishi tuichague CCM na ahadi nyingi za hadaa ambazo CCM haijawahi kuzitekeleza tangu ilipoanza kutawala.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Msaada Hollywood secondary
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Kuhusu suala la kuwa na kigugumizi itabidi nifanye utafiti kwa kuongea na walimu wenye sifa kama hiyo wanipe mwanga ni vipi wanavyo weza kukabiliana na suala hilo wanapofundisha pengine ninaweza nikapata nguvu hata ya kumpeleka chuo cha ualimu kama nitashindwa kupata njia mbadala.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Asante kwa ushauri wako nimeupenda.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA iliyo kwenye kikao, itujibu maswali haya manne tu

    Utumbo nao ni kuuliza?.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Binti yangu mwenye umri wa miaka18 alihitimu elimu yake ya kidato cha 4 mwaka 2014 na kupata matokeo haya:Civics C,History C,Geo D,Kiswahili B,English B,Biology D,Computer F,Math F,Com D na Book/k E. Ninaomba ushauri wenu kwa matokeo kama haya binti yangu ana weza akaenda chuo gani/course...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Maradhi ya moyo kutanuka

    Kwa mtu aliyekwisha athirika tayari tiba yake ni nini?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze, nina jiwe hili la gram 58

    Wengi tunaona nyota tu.
  12. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tuambieni mmekusanya shilingi ngapi kupitia Mitandao ya Simu?

    Anza kwanza wewe ueleze kiasi ulicho changia ukithibitisha kwa ushahidi.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kuku

    Asante.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kuku

    Ninawashukuru wajasiria mali wote kwa ushauri wenu mulionipa,kutokana vifo vya ghafla vilivyo kuwa vinatokea kwa kuku wangu.Baada ya kuomba ushauri kwa wajasiria mali chini ya kichwa cha habari Watalamu naomba msaada kuku wanapukutika, pamoja na kwamba nimepata hasara kubwa lakini michango ya...
Back
Top Bottom