Maradhi ya moyo kutanuka

Maradhi ya moyo kutanuka

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,069
Reaction score
34,836
MOYO.jpg

MOYO KUTANUKA

Huu ni ukinzani wa moyo jinsi
unavyo toa na kuingiza damu katika

mishipa ya moyo na kuelekea
sehemu zingine kwenye mwili.
Mara nyingi moyo ukipanuka

hupelekea baadhi ya sehemu
kwenye misuri ya moyo

kutokufikiwa na damu, hivyo
kusababisha tundu kwenye moyo au
kidonda cha moyo na baadaye

stroke
SABABU ZA MOYO KUTANUKA

Vifuatazo ni visababishi vya moyo
kupanuka;-

1. mafuta katika damu

2. cholesterol/ lehemu

3. sumu mwilini

4. ukosefu wa protini

5. msongo wa mawazo

6. magonjwa ya muda mrefu

7. shinikizo la juu la damu

DALILI ZA MOYO KUTANUKA

Ili utambue moyo buliokwisha
panuka ni muhimu kuzijua dalili
zifuatazo;-

mapigo ya moyo kwenda kasi
mara kadhaa

moyo kulipuka mara kwa mara

kuhisi hali ya mwili
kunyong'onyea/ kupoteza nguvu

miguu kuwa baridi au kufa ganzi

wakati mwingine vidole kufa ganzi
na kukakamaa

maumivu kwenye moyo (heart
pain)

vichomi na kifua kubana

maumivu kwenye chemba ya moyo

MADHARA YA MOYO KUTANUKA

Yafuatayo ni madhara ya moyo
uliopanuka;.-

kuvimba miguu

miguu kufa ganzi

kupalalaizi/stroke

kidonda kwenye moyo

usipotibu na kuchukua tahadhari
mapema husababisha vifo

JINSI YA KUEPUKA TATIZO HILI

1. Kuepuka ulaji wa nyama, mayai,
maziwa ambavyo huongeza mafuta
kwa wingi.

2. usile vyakula vya kusindikwa
vina chemicals na lehemu nyingi

3. epuka mafuta ya korie, ok na
yote yatokanayo na wanyama

4. tumia mafuta ya mimea kama
alizeti, karanga, nazi, mawese nk ila
kwa kiasi kidogo

5. punguza msongo wa mawazo,
fanya mazoezi kwa muda wa dakika
30 kwa siku asubuhi na jioni

6. kula mboga za majani kwa wingi
(not dead food)

7. usitumie sukari, na chumvi
isitumike kwa wingi

Tiba yake ipo kwa mwenye hayo maradhi ya Moyo kutanuka anitafute nipate kumtibia.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App

+447459370172

Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
MOYO KUTANUKA

attachment.php

Huu ni ukinzani wa moyo jinsi
unavyo toa na kuingiza damu katika

mishipa ya moyo na kuelekea
sehemu zingine kwenye mwili.
Mara nyingi moyo ukipanuka

hupelekea baadhi ya sehemu
kwenye misuri ya moyo

kutokufikiwa na damu, hivyo
kusababisha tundu kwenye moyo au
kidonda cha moyo na baadaye
stroke

SABABU ZA MOYO KUTANUKA

Vifuatazo ni visababishi vya moyo
kupanuka;-

1. mafuta katika damu

2. cholesterol/ lehemu

3. sumu mwilini

4. ukosefu wa protini

5. msongo wa mawazo

6. magonjwa ya muda mrefu

7. shinikizo la juu la damu

DALILI ZA MOYO KUTANUKA

Ili utambue moyo buliokwisha
panuka ni muhimu kuzijua dalili
zifuatazo;-

• mapigo ya moyo kwenda kasi
mara kadhaa

• moyo kulipuka mara kwa mara

• kuhisi hali ya mwili
kunyong’onyea/ kupoteza nguvu

• miguu kuwa baridi au kufa ganzi

• wakati mwingine vidole kufa ganzi
na kukakamaa

• maumivu kwenye moyo (heart
pain)

• vichomi na kifua kubana

• maumivu kwenye chemba ya moyo

MADHARA YA MOYO KUTANUKA

Yafuatayo ni madhara ya moyo
uliopanuka;.-

• kuvimba miguu

• miguu kufa ganzi

• kupalalaizi/stroke

• kidonda kwenye moyo

• usipotibu na kuchukua tahadhari
mapema husababisha vifo

JINSI YA KUEPUKA TATIZO HILI

1. Kuepuka ulaji wa nyama, mayai,
maziwa ambavyo huongeza mafuta
kwa wingi.

2. usile vyakula vya kusindikwa
vina chemicals na lehemu nyingi

3. epuka mafuta ya korie, ok na
yote yatokanayo na wanyama

4. tumia mafuta ya mimea kama
alizeti, karanga, nazi, mawese nk ila
kwa kiasi kidogo

5. punguza msongo wa mawazo,
fanya mazoezi kwa muda wa dakika
30 kwa siku asubuhi na jioni

6. kula mboga za majani kwa wingi
(not dead food)

7. usitumie sukari, na chumvi
isitumike kwa wingi

UKIWA NA SWALI LOLOTE USIKOSE KUNITAFUTA KWA KUBONYEZA HAPA.
Mawasiliano

Unajua kwenye medicine huwa twapenda kuongea kwa reference pls show me before cja ku attack maana umeongea mengi na umechanganya habar hapa na umejitafutia maswali mengi sana.
 
Unajua kwenye medicine huwa twapenda kuongea kwa reference pls show me before cja ku attack maana umeongea mengi na umechanganya habar hapa na umejitafutia maswali mengi sana.

Yeye kaanzia hapo alipoanzia mkuu! Nafikiri wewe ungeendelea kuyafafanua kwa faida ya sote humu yale yote aliyoyaacha au kutoyaweka vyema, na sio swala la attack btn you two!
 
Yeye kaanzia hapo alipoanzia mkuu! Nafikiri wewe ungeendelea kuyafafanua kwa faida ya sote humu yale yote aliyoyaacha au kutoyaweka vyema, na sio swala la attack btn you two!

Cjataka mu attack its beta anambie aliko copy b4 cja comment any thng frm there
 
Unajua kwenye medicine huwa twapenda kuongea kwa reference pls show me before cja ku attack maana umeongea mengi na umechanganya habar hapa na umejitafutia maswali mengi sana.
wewe kama ni kweli ni Doctor huwezi kumshambulia mtu toa na wewe ushauri wako hatupo shuleni hapa kushindana ki elimu kama unayo elimu yako na wewe toa elimu yako watu wasome sio kuja kujifanya unajuwa wakati hujuwi kitu Mkuu dr samg samahani kama nimekukwaza toa ushauri wako na dawa za kumtibu mgonjwa tafadhali usilete malumbano yasiyokuwa na faida.Mimi sio Doctor mimi ni MziziMkavu hauchimbwi dawa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
MOYO KUTANUKA

attachment.php

Huu ni ukinzani wa moyo jinsi
unavyo toa na kuingiza damu katika

mishipa ya moyo na kuelekea
sehemu zingine kwenye mwili.
Mara nyingi moyo ukipanuka

hupelekea baadhi ya sehemu
kwenye misuri ya moyo

kutokufikiwa na damu, hivyo
kusababisha tundu kwenye moyo au
kidonda cha moyo na baadaye
stroke

SABABU ZA MOYO KUTANUKA

Vifuatazo ni visababishi vya moyo
kupanuka;-

1. mafuta katika damu

2. cholesterol/ lehemu

3. sumu mwilini

4. ukosefu wa protini

5. msongo wa mawazo

6. magonjwa ya muda mrefu

7. shinikizo la juu la damu

DALILI ZA MOYO KUTANUKA

Ili utambue moyo buliokwisha
panuka ni muhimu kuzijua dalili
zifuatazo;-

• mapigo ya moyo kwenda kasi
mara kadhaa

• moyo kulipuka mara kwa mara

• kuhisi hali ya mwili
kunyong’onyea/ kupoteza nguvu

• miguu kuwa baridi au kufa ganzi

• wakati mwingine vidole kufa ganzi
na kukakamaa

• maumivu kwenye moyo (heart
pain)

• vichomi na kifua kubana

• maumivu kwenye chemba ya moyo

MADHARA YA MOYO KUTANUKA

Yafuatayo ni madhara ya moyo
uliopanuka;.-

• kuvimba miguu

• miguu kufa ganzi

• kupalalaizi/stroke

• kidonda kwenye moyo

• usipotibu na kuchukua tahadhari
mapema husababisha vifo

JINSI YA KUEPUKA TATIZO HILI

1. Kuepuka ulaji wa nyama, mayai,
maziwa ambavyo huongeza mafuta
kwa wingi.

2. usile vyakula vya kusindikwa
vina chemicals na lehemu nyingi

3. epuka mafuta ya korie, ok na
yote yatokanayo na wanyama

4. tumia mafuta ya mimea kama
alizeti, karanga, nazi, mawese nk ila
kwa kiasi kidogo

5. punguza msongo wa mawazo,
fanya mazoezi kwa muda wa dakika
30 kwa siku asubuhi na jioni

6. kula mboga za majani kwa wingi
(not dead food)

7. usitumie sukari, na chumvi
isitumike kwa wingi

UKIWA NA SWALI LOLOTE USIKOSE KUNITAFUTA KWA KUBONYEZA HAPA.
Mawasiliano

Kwa mtu aliyekwisha athirika tayari tiba yake ni nini?
 
Kwa mtu aliyekwisha athirika tayari tiba yake ni nini?
Nenda Hospitali ukatibiwe ikishindikana utaniona kwa wakati wako nitakutibu kwa Dawa za Tiba za Asili Tiba Mbadala ukinihitaji
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
wewe kama ni kweli ni Doctor huwezi kumshambulia mtu toa na wewe ushauri wako hatupo shuleni hapa kushindana ki elimu kama unayo elimu yako na wewe toa elimu yako watu wasome sio kuja kujifanya unajuwa wakati hujuwi kitu Mkuu dr samg samahani kama nimekukwaza toa ushauri wako na dawa za kumtibu mgonjwa tafadhali usilete malumbano yasiyokuwa na faida.Mimi sio Doctor mimi ni MziziMkavu hauchimbwi dawa.

Sikushambulii kijana nlitaka jua source ya info zako
 
Sikushambulii kijana nlitaka jua source ya info zako
Umesha niona nimekuwa ni kijan kwani wewe una miak mingapi kaka dr samg saa ingine mimininaweza kuwa sawa na mzee wako au baba yako mdogo wewe unaniitamimi kijana? angalia hiyopicha yangu na kisha ukadirie mimi nina miaka mingapi? kama wewe kweli ni Doctor? Tupe na wewe Faida za Moyo kutanuka Dr Samg?
 
Last edited by a moderator:
ulivyokuja kwa kasi nilitegemea utakuja na elimu ya kutosha kumbe bure kabisa
Kuna Member wengine humu ndani wanapenda kujipachika majina ya U-Doctor ili wajulikane kuwa wao ni Ma-Daktari kumbe ni Ma-Daktari feki asante Mkuu kende
 
Last edited by a moderator:
Cjataka mu attack its beta anambie aliko copy b4 cja comment any thng frm there

Hata kama wewe ni Dr kweli, basi tambua kuwa na wewe pia ume copy kichwani walivyogundua watu wengine ukaitwa daktari. Huna chembe yyte uliowahi kuigundua wewe kama wewe!

Sasa kumwambia msamaria mwema kama huyu ambaye amepoteza muda wake ili kuelimisha jamiii, aelezee wapi ametoa hizo habari, ni kutomtendea haki! Nafikiri ilitakikana, ama unyamaze kabisaa ama uchangie zaidi pale penye mapungufu kwa manufaa ya jamii!

Tabia hiyo ni moja ya mambo yanayoifanya africa kuendelea kubakia nyuma kwa kila kitu!
 
Nenda Hospitali ukatibiwe ikishindikana utaniona kwa wakati wako nitakutibu kwa Dawa za Tiba za Asili Tiba Mbadala ukinihitaji mimi wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano

gharama vipi mkuu?
au niPM gharama za matibabu ya uhakika kwa dawa zako.. ili nijue nianzie wapi.
 
gharama vipi mkuu?
au niPM gharama za matibabu ya uhakika kwa dawa zako.. ili nijue nianzie wapi.
Nimesha kwambia nenda kwanza Hospitali ukatibiwe usipo poona nitafute kwa wakati wako Gharama siwezi kuweka hapa ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Hata kama wewe ni Dr kweli, basi tambua kuwa na wewe pia ume copy kichwani walivyogundua watu wengine ukaitwa daktari. Huna chembe yyte uliowahi kuigundua wewe kama wewe!

Sasa kumwambia msamaria mwema kama huyu ambaye amepoteza muda wake ili kuelimisha jamiii, aelezee wapi ametoa hizo habari, ni kutomtendea haki! Nafikiri ilitakikana, ama unyamaze kabisaa ama uchangie zaidi pale penye mapungufu kwa manufaa ya jamii!

Tabia hiyo ni moja ya mambo yanayoifanya africa kuendelea kubakia nyuma kwa kila kitu!

Nmewaeleweni wote ckua na lengo la ku attack mtu.... tunapokuwa na forums za kitabibu kama hizi huwa linapoibuka jambo jipya kama hili huwa tunaombana reference kwanza ili nami nkasome hapo at least nielewe bila kubisha hii ni sayansi bwana... shida nyingine hapa ni muda wajua niko tanga sie ni moja ya vijana tulio amua kuto bweteka dar so wajua ukiwa mikoani rotations nyingi calls nyingi... nakosa muda wa ku socialise na wenzangu kama hivi.... inshort unavyoongelea moyo kutanuka (cardiomegally) kuna mengi ya kuzingatia alietoa mada kuna mahali alinipoteza kidogo maana mm nnavyofahamu heart diseases ni tofauti kidogo... heart diseases are so common mwisho wake ni heart failures stroke ni kitu tofauti kabisa labda heart attacks ambalo pia ni tofauti kidogo bcz inaweza mtokea mtu asie na heart failure au hata asie na cardiomegally.... so nice somo napenda sana kuuzungumzia moyo... napenda kufundisha (sie siku zote ni walimu) tatizo kaji muda jaman naahid siku ntatoa presentation hapa hapa kwenye thread hii hii ya mzizimkavu ili nuote muelewe tena kwa lugha nyepesi tuombeni uzima kwa mwenyezi Mungu...
 
wewe kama ni kweli ni Doctor huwezi kumshambulia mtu toa na wewe ushauri wako hatupo shuleni hapa kushindana ki elimu kama unayo elimu yako na wewe toa elimu yako watu wasome sio kuja kujifanya unajuwa wakati hujuwi kitu Mkuu dr samg samahani kama nimekukwaza toa ushauri wako na dawa za kumtibu mgonjwa tafadhali usilete malumbano yasiyokuwa na faida.Mimi sio Doctor mimi ni MziziMkavu hauchimbwi dawa.

Bora umekir mapewa ww sio dr bcz sisi muda wote tuko shule.... muda wote tuna allow akili zetu kupokea jambo jipya ungekuwa dr kuwa attacked ni jambo dogo sana ukisoma medical school ni kama jeshi fulani bcz unaandaliwa usiwe mwoga kwenye jambo dogo kama hili medical school pia makazini kuna attacks za ajabu ambazo kwenye dunia ya kawaida tungatafutiana uchawi kweli ungekuwa dr ungenielewa... kuhusu matibabu hatutibu just bcz mtu ana jambo fulani tu kuna indications mbalimbali ndio maana dr wa ukweli hapa atakupa ushairi ila matibabu utayapata ukiwa chumba cha dr labda uwe wafanya biashara mind yu hakunaga medical business ndio maana hujawahi ona kwa tv tangazo la hospital ikijinadi ati yatoa huduma nzuri kuliko nyingine labda iwe ina special kama vile ccbrt wanavyotangaza kuhudumia watu wa aina fulani ila waganga wakienyeji utawaona kila leo kwenye tv kwenye redio au kwenye magazeti wakijinadi ati watibu vidonda vya tumbo ugumba nguvu za kiume nk
 
Ni kweli mimi sio Doctor kama uanvyo sema wewe .Lakini wewe Mkuu dr samg ni doctor feki laiti ungelikuwa ni daktari wa ukweli usingenikosoa mimi nisiyekuwa doctor kama wewe unavyojidai U-Doctor wakatimpaka sasa hujasema kitu chochote kinachohusu Thread yangu niliyoweka. Wewe unajitia kunilaumu wakati hujuwi kitu wewe utakuwa ni Doctor feki sio doctor wa ukweli. Unajitia kuwalaumu Waganga wa kienyeji eti wanajitangazia kutibu maradhi ya vidonda vya tumbo, ugumba na nguvu za kiume je niambie hayo maradhi uliyoyataja huko Hospitali zenu zinazo dawa ya kuyatibu hayo maradhi? Matokeo yake munawapa dawa za sumu (Side effect) bada ya kuwatibu munawazidishia wagonjwa maradhi mengine yasiyohitaji huku mukisema munatibu watu. Angalia na soma hii Thread bonyeza hapa.Topic: Ushuhuda wa kutisha kutoka hospitali ya serikali
 
Back
Top Bottom