Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo.
1: awe tayari kwenda kupima UKIMWI
2:umri wa miaka 27-33
3:elimu, degree moja na kuendelea
4:a true Christian
5...
Personally, I love dating a man who own a car because it's more comfortable being with him. Imagine we are out at a late night then mnaka mnawaza jinsi mtakanyorudi home( its either mchukue bajaj or a taxi) but if a man has a car its free to move around especially kama hapa dar kwenye usumbufu...
Jiandae kupokea wageni kila siku,tena sio wakukaa siku moja au mbili.Wanakaa miezi au miaka. Mara leo kaja mkwe, kesho shemeji. Haijatulia kidogo anakuja mwingine.hadi utakoma. But the good thing is, they are humble.
Hello JF!!am a lady 24 by age. Kuna kitu kinanishangaza sana,toka mwaka huu uanze nimekuwa natamani sana and wishing to get married.Sometimes utakuta nimekaa peke yangu naanza ku fantasize kuhusu ndoa.But kila nikiangalia sioni mtu aliye serious!! All I dream about nowdays in a "family". Yaani...
Kwa mm nijuavyo, sisi wasichana tuna katabia flani hivi( hata baadhi ya wanaume wanako pia). Utakuta mtu anamwoshe boyfriend au mume wake msg za watu wanaomtongoza au kumsimulia kuhusu watu wanaomtongoza....hii inamaanisha anataka kukuonyesha kuwa "kuna wengi ambao wanampenda na kumtamani"...
Dolly Parton mkali sana......
))))But you know I love you
))))Do I ever Cross your mind
))))I will always love you
))))Island in the stream
))))Jolene
))))Just because am a woman
))))Think about love
))))
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.