Recent content by Tulimumu

  1. Tulimumu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

    Kaa kama Paulo bwana
  2. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi wasema kuna mambo hawakumalizana na Mdude jana kumhoji na kumchunguza, ndio maana wanaendelea kumshikilia

    Huyu watamuua tu sidhani kama atakuwa salama kwa jinsi wanavyomtendea
  3. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

    Ndiyo maana mimi binafsi nimeamua sitapiga kura katika uchaguzi wowote utakaofanyika chini ya katiba hii, tume hii na OR Tamisemi ni kupoteza muda na nguvu bure
  4. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

    Keani alikosa nini? Hakuna kosa ndiyo maana alipewa utawala na mamlaka.
  5. Tulimumu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mara ya kwanza akawa mkali

    Sasa hilo ni swali?
  6. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

    Badi sisi wengine tunahamia Guine
  7. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

    Kwani huyo mama yuko wapi kwa sasa?
  8. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

    Hakuna siri ya watu wawili au zaidi. Hata hayo unayoita ni uzushi sasa utaujagundua ni kweli ni suala la muda tu kama ilivyokuwa kwa ziara hii. Kama hili mwanzo hukuamini na lilmetokea basi na hayo unayoyaita uzushi utayajua wakati wake ukifika
  9. Tulimumu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

    Umependa timiza wajibu mapenzi ni gharama siyo yale ya zamani. Kumhudumia ni wajibu wako kwakuwa imempenda na kakupenda.
  10. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

    Sawa mbona unawasimanga mkuu? Kila watu wana matatizo yao. Wazaramo wako wapi na Mzizima yao?
  11. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

    Kwakweli vita ya Gaza inaniumiza sana. Waislaeri wanaua wapalestina kama wanaua nyoka. Mji wote asilimia 80 umebomolewa
  12. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

    Yaani ni bora usingejibu kabisa. Unatakiwa ujibu hoja kwa hoja ukishaona umeanza kutoa kashfa kwenye mijadala maana yake ni kuwa huna hoja hivyo ni bora unyamaze.
  13. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

    Kama alikuwa anajibu kwa staili ya mipadho hapo sawa
  14. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

    Majibu yake ndiyo yanayotoa jibu. Ile ilikuwa sawa na kulia kabla ya msiba
Back
Top Bottom