Recent content by Tulibhalegha

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kipi kimekufanya usiiingie kanisani

    Hii inatekelezeka kama utaingia kanisani na roho tu alaf mwili wako ukauchq nyumbqni.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwa masharti na stress hizi utazopitia, Utajiri wa ndagu ni heri kuwa masikini tu

    Kuna mtu aliwahi kusema kama huwezi kumnywesha uji nyoka basi wewe utaenelea kuwaita watu mafrimason mpaka unakufa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

    Ukiwa katika hali hiyo hata akili ya kwamba ukiongea na mtu unapona huwa haipo. Watu wako wa karibu ndio hupaswa kugundua kuwa una tatizo na hivyo huwajibika kukudadisi na hatimaye kukurudisha katika hali ya kawaida. Ninavyoonq mim hapa tatizo ni jamii kushindwa kung'amua hili mapema kwa kudhani...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA TANESCO, naomba kujua utofauti wa bei za unit za umeme inasababishwa na nini?

    Mijadala mingi humu jukwaani inadhihirisha watanzania wengi ni weupe vichwani. Swali ni kwanini bei zitofautiane? Mtu anajibu kwa sababu kuna tariff 0 na tarrif 1. Jamani hebu tujifunzeni reasoning kama hatuna uwezo huo basi tuna safari ndefu sana. Anyway; Mleta mada anaka kujua hivi "Kwani...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Elon Musk : Vipofu sasa wataanza kuona

    Kuna uelewa unaokosa kuhusu mifumo ya uendeshaji wa huduma za jamii kama maji na umeme katika nchi zinazoendelea. Kabla hujawalaumu matajiri wa katoro katika hilo fuatilia kwanza, je, mtu binafsi anaweza kuanzisha mfumo wa huduma za jamii kama umeme au maji kwenye mtaa wake?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kubadilisha maji kuwa divai na sio kutengeneza Biblia?

    Naamini hujaelewa swali, Mleta hoja amejikita katika aina ya kitu ambacho yeye yesu alikiona ni bora kuanza kuwaonyesha watu kuwa ana uwezo. "Kwanini aanze na pombe (inayoaminikq kuwa haramu) na asianze na biblia (inayoaminikq kuwa utukufu"
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

    Miamalq imeanza kufeli hata kabla ya tangazo, kwenye hela za watu kama hujui kaa kimya
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

    We si unawatetea eti walitoa taarifa siku mbili kabla, miamalq imeanza kufeli hata kabla ya taarifa so unavyokuja kuwatetea kwa kigezo hicho kumbuka unaongelea hela za watu sio matako
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Ukiona hivyo sio nyoka huyo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

    Ni bahati mbaya tupo Tanzania ya wanaopenda kupinga hata kitu wasichokijua; Mi muamala nimefanya jumamosi tarehe 25 julai mpaka leo tar 2 agost muamala haujakamilika jana wameniambia muamala unaweza kukamilika tar3 agosti, je hilo tangazo unalolisema wewe lilitolewa tarehe 23 julai ili liendane...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CHADEMA wamwambia Heche: Tunasikia maneno umekula hela tunakupa na hizi za maji

    Busara za wasukuma kwenye ngoma huwa ziko hivi; Pesa ya zawadi inayodondoshwa chini wakati ngoma ikiendelea inakuwa mali ya kikundi kizima lakini pesa inayowekwa mfukoni mwa nguo ya mtu mmoja wapo kwenye kikundi au kukabidhiwa mikononi mwake hiyo inakuwa zawadi binafsi ya aliyepewa.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

    NMB Kwa mara ya kwanza nimejikuta nalala njaa na pesa ninayo kisa tu niliiweka NMB, nilifanya muamala tar25 pesa ikatoka kwenye akaunti ila haikufika nilikotaka iende, tangu hapo kila nikipiga simu najibiwa inashughulikiwa leo imepita wiki nothing has been done, najiuliza hawa watu wanaoperqte...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Messi and Yamal will meet again in the 2026 World Cup final

    Consistency matters the most, haiwezekani mtu aliyebaki kwenye ubora ule ule kwa miaka 20 akachukua ballon dior 8 mbele ya strong rival CR7 eti afananishwe na kijana ambaye leo ndio kwanza anatimiza miaka 19, ulishwah kusikia messi akishindanishwa na maradona kipindi kile akiwa na miaka 19?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji na wachawi wote wanatumia nguvu za giza, ushirikina

    Utumwa mkubwa ambao hatutaweza kuufuta ni kuharibiwa elime, akili, maarifa na fikra, matokeo yake; 1. Tunaacha michembe tunashabikia chipsi, vyote ni viazi, vyote vimekatwa vipande vipande, vyote vina wanga. 2. Tunaacha Mungu tunaabudu Watu; ni lini uliwahi kusikia imani za kale ziliabudu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Makuli na washusha mizigo ya nafaka waandamana kupinga maandamano ya Julai 7

    Unamwamsha mtu aliyelala ili umpe dawa ya usingizi
Back
Top Bottom