Recent content by TUKUYU88

  1. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri Chama Cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia kama mgombea wa uraisi 2030

    huyu mzanzibar ana tamaa sana. na hapo ana buy time ili ikikarbia uchaguzi aanze kujifanya anaanzisha mchakato wa katiba ili aendelee kukaa madarakani.
  2. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania CDF Mkunda: JWTZ ni Jeshi lao Wananchi, waendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi lao

    Jeshi la kulinda mafisadi
  3. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Bongo mchezaji bora wa mchezo mnaangalia vigezo gani?

    Chilambo alistahili. kumbuka alizima namba mbili. na muda mwingi alikuwa maeneo sahihi
  4. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    huyu dada ni mwamba sana. tungepata wadada kumi tu wa hivi CCM wangekuwa vichaa
  5. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa jamaa aliyejaribu kuibia freemasons

    wazima kabisa
  6. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa jamaa aliyejaribu kuibia freemasons

    hakutaja ila wewe umejua.
  7. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    alitetea sana kuuza bandari huyu mpuuzi. mpaka akazawadiwa cheo hicho.
  8. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Link-Mgunduzi wa kipimo cha HIV(PCR), Prof.Kary Mullis hakubaliani kwamba HIV anasababisha AIDS: na Anasema hata Kipimo chake hakiwezi kumwona HIV .

    siku hizi mwenye ukimwi anaishi miaka mingi kidogo akiwa na afya njema. sema zile dawa ni sumu kali lakini ni bora kuliko asiyetumia. ARV zinaua sana sana INI.
  9. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Link-Mgunduzi wa kipimo cha HIV(PCR), Prof.Kary Mullis hakubaliani kwamba HIV anasababisha AIDS: na Anasema hata Kipimo chake hakiwezi kumwona HIV .

    kuna vitu mnachanganya sana. kwenye matibabu ukishindwa kutibu basi msogezee maisha ili aishi miaka mingi. ndo kinachofanyika kwenye issue ya UKIMWI. fikiria zamani kabla ya hizi dawa waathirika walikuwa wanaishi muda gani? ukilinganisha na siku hizi?
  10. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Said Mtanda Ahamishwa Mwanza Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Hamduni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

    akina hamduni bado wana rotate tu? Nchi hii ujinga mwingi sana
  11. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Link-Mgunduzi wa kipimo cha HIV(PCR), Prof.Kary Mullis hakubaliani kwamba HIV anasababisha AIDS: na Anasema hata Kipimo chake hakiwezi kumwona HIV .

    na hao wazungu mnaowaponda kwani wanakushikia bunduki ili upime na kumeza dawa? ndo nyie mnawaambia watu wenye UKIMWI wasitumie dawa.
  12. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania Link-Mgunduzi wa kipimo cha HIV(PCR), Prof.Kary Mullis hakubaliani kwamba HIV anasababisha AIDS: na Anasema hata Kipimo chake hakiwezi kumwona HIV .

    acheni kuvamia fani. kary mullis aligundua technique ya PCR. na hiyo technique inatumika kufanya vipimo vingi sana. na hiyo technique inachofanya ni kutoa copies za vinasaba. ili ziwe nying kwa ajili ya kuonekana. na vinasaba ni vidogo sana (tiny particles) huwezi ukaona kwa macho wala...
  13. TUKUYU88

    JamiiForums Tanzania CV ya Makamu wa Rais. Vijana/Wasomi acheni kuchunguza chunguza mambo mpeni tu Ushirikiano.

    wamekutana wote wakiwa na elimu ya kuunga unga
Back
Top Bottom