Recent content by Tukudzi

  1. Tukudzi

    Tumia WhatsApp na Apps nyingine katika Kiswahili

    Hiyo basi iwe maoni yako. Anayetaka kuweka Kiswahili iwe lugha ya kifaa chake, basi na aweke. Usimkataze kwa kuwa hukufaulu.
  2. Tukudzi

    Tumia WhatsApp na Apps nyingine katika Kiswahili

    Sivyo. Umenoa. Tafsiri si za ovyo. Katika utafsiri/ukalimani wa programu za simu au tarakilishi, makampuni hutumia misamiati ya kiteknolojia. Misamiati hii hutokana na kamusi ya taminolojia mbalimbali, mojawapo ikiwa ile ya Microsoft ambayo iliundwa na wataalamu kutoka Zanzibar, Tanzania...
  3. Tukudzi

    Tumia WhatsApp na Apps nyingine katika Kiswahili

    Wajerumani hutumia simu zao katika Kijerumani. Wachina hutumia zao katika Kichina. Warusi vilevile. Sisi je? Hili ni jambo nisilolielewa. Mwanzoni, nilipoanza kutumia Kiswahili kwenye simu na tarakilishi, nilipata changamoto nyingi. Lakini baada ya muda, nikazoea. Nakusihi ujaribu, hata kidogo...
  4. Tukudzi

    Kwanini simu nyingi hazitouch ukiiweka juu ya meza?

    Issue huwa ni grounding na capacitance. Ukiiweka kwenye meza, au chombo chochote hivi kinachoweza kupitisha stima (k.m., chuma, glass...), utapata kuwa umeme wa static unaleta shida na capacitive touch ya skrini. Kama sijaieleza vizuri, tafuta "effects of static on capacitive touch".
  5. Tukudzi

    Tumia WhatsApp na Apps nyingine katika Kiswahili

    Hapa ningependa kuonyesha jinsi ya kubadilisha lugha ya simu yako ili uweze kutumia apps nyingi kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Nimerekodi video ya njia ya kufuatwa ili lugha ibadilishwe, iwapo ungependa kutazama jinsi inavyofanywa. Kwa anayependa kufuata maelezo badala ya kutazama video...
  6. Tukudzi

    Korona imefunua ubunifu wa aina yake nchini

    Usitilie maanani. Hii ni utani tupu.
  7. Tukudzi

    Korona imefunua ubunifu wa aina yake nchini

    NA PAULINE ONGAJI MARADHI ya Covid -19 bila shaka yameuka jinamizi sio tu nchini, bali ulimwenguni kote. Lakini pia ugonjwa huu umekuwa funzo kwetu kama Wakenya kuhusu mambo mengi. Hasa umetukumbusha kuhusu uwezo wetu wa kuzalisha bidhaa kama nchi. Pindi baada ya virusi vinavyosababisha maradhi...
  8. Tukudzi

    Naombeni app nzuri ya kurecord screen ya simu android

    DU Recorder – Screen Recorder & Video Editor v2.1.3.5 Cracked [Latest] - APK4Free utapata cracked version.
  9. Tukudzi

    Kifaa cha kutafsiri lugha

    Ukitaka kazi, waweza pata hapa: https://languagecareers.un.org/dgacm/Langs.nsf/page.xsp?key=Careers-Translators
  10. Tukudzi

    Msaada wa Read Only

    Fanya vile huyu amesema.
  11. Tukudzi

    Msaada wa Read Only

    Pole kwa kuchelewa kureply. Tangu wakati huo, umefaidika?
  12. Tukudzi

    App developers Njooni mfanye kazi na mimi

    Ahsante, lakini kibinafsi, siwezi kufanya kazi bila malipo. Kila la heri, kaka.
  13. Tukudzi

    App developers Njooni mfanye kazi na mimi

    Malipo ni ads pekee?
  14. Tukudzi

    Msaada wa Read Only

    Flash disk ni ya aina ipi? Unaweza ipiga picha uweke hapa? Hata hivyo, fanya hivi: Run diskpart kwa kubonyeza WindowsKey+R Type list disk select disk n (hapa, badilisha n na namba ya flash disk yako iliyo kwenye safu ya Disk ### attributes disk Ukifika hapo, niambie inavyosema tuone kama...
Back
Top Bottom