kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,299
- 6,102
Mkuu naona kama vle hauko Tanzania au??? May be unaliongelea hili swala ukiwa nje ya TZ, kama uko nje ya TZ basi uko sawa lkn kama uko ndani ya TZ thn you are very wrong.Vijana mnapenda kuwa waharibufu badala ya kutumia ujuzi wenu kuliletea taifa na ninyi wenyewe maendeleo.hapo umeharibu data za watu walla hujafaidika chochote wao wanabackup watarudisha na biashara itaendelea. Wewe hujanufaika na wala huwezi kuweka kwenye cv halali.
Endapo ungeenda na kuwaambia tatizo lao huenda mngeweza kukaa chini na kufanya biashara. Hii ni kwa vijana wote tujitahidi kung'amua matatizo yanayoikumba jamii yetu na kutafuta namna bora ya kutatua.
ULICHOFANYA NI UPUMBAVU TUMIA TAALUMA/UJUZI KWA MANUFAA
Tanzania watu tunaodeal na technology hatupewi support, wanaishia kutukandamiza tu. Just imagine blog tu inabidi nilipie kodi, hapo sijanunua hosting na domain name. Sasa kama watu wana ujuzi wa kutungua hizi website zilizo uchi uchi bora watungue tu coz uwezo wao watautumia wapi sasa. Hata ukisema upeleke report ya vulnerabilities kwa wahusika wataishia kukugeuka tu na kukuuliza "nani kakupa ruhusa ya kuingia kwenye system(coz kisheria hairuhusiwi)" mwisho wa siku unatupiwa kesi bure.
Af system admins wengi wanajikuta wataalamu sana kumbe zero zero tu. Hawataki kukosolewa, time itafika siku systems nyeti kabisa zidukuliwe na ndipo waelewe.
