Recent content by Tujumwiche

  1. T

    Kweli Tz kubwa sana. Uwewahi kufika wilaya ya Mbinga

    mbona hujasema ni moja kati ya wilaya TZ zinazo ongoza kwa mapato? The only difference with K'njaro is that there is umeme in villages-
  2. T

    GODBLESS LEMA: Tembo wengi wanauawa nje ya hifadhi kihalali kwasababu......

    No Lema is somehow right, tembo hawana mipaka kati ya hifadhi za taifa au Game reserves and hunting block ambzao nying tu ziko nje ya maeneo muhimu ya hifadhi. Embu jiulize kuna hunting block ngapi aroung Serengeti etc. But, I must say, profesional hunters wanapata vibali vya kuwinda based on...
  3. T

    Rais Jakaya Kikwete amteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama

    Hili ni balaa, Hussein Katanga aliwahi kuwa mkurugenzi wa wilay mbinga, akachukua chake mapema na kujenga gorofa zake ale ngongo la mboto na kwa vile ni sehemu yao, akapelewkwa ofisi ya waziri mkuu. Kweli nchi inaenda kubaya
  4. T

    Pendekezo: Ianzishwe Dr. Ulimboka Foundation

    I agree with you. This ight help.
  5. T

    Mbuzi wa Kafara

    yes, I agree, Jk ni mzigo
  6. T

    Gesi tumboni

    Je tatizo la gesi tumboni linaathari kwenye nguvu za kiume?
  7. T

    Maliasili na utalii Kuna nini?

    Hata kaa mtu hapo, interest za wakubwa ni nyingi. Bilieve me kama hujui mambo ya vitalu na magogo maana yake nini ni basi hapa ndipo utamu ulipo.
Back
Top Bottom