Recent content by Tui

  1. T

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa CIA hawakubaliani na Makataba wa Magumashi wa Marekani na Iran

    Wacha kumuita huyo mbeba mavi kwenye suruali Ustaadh.Huyo ni jahili la kutupa.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vipi ikitokea idadi ya waandamanaji ikawa kubwa mara 10 zaidi ya Oktoba 29 tena wakiwa na utayari wa kifo, Serikali inasubiri raia waifikshe huko?

    Mavi ya kuku.Tamba kwenye keyboard.Keyboard warrior..Piga kelele hapa na kujitapa lakini siku ikifika usiingie chini ya kitanda.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Vipi ikitokea idadi ya waandamanaji ikawa kubwa mara 10 zaidi ya Oktoba 29 tena wakiwa na utayari wa kifo, Serikali inasubiri raia waifikshe huko?

    Na pesa za walizopokea kutoka Ujerumani milioni 900 wameambiwa warudishe.Leo Mnyika alikuwa analalamika kwamba zuio la kutofanya siasa limesababisha watakiwe kurudisha huo msaada.Kila siku wanapeleka fitina Nchi iwekewe vikwazo .Milioni 900 zimewatokea puani wanabaki kulalama.Puppets wakubwa.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Vipi ikitokea idadi ya waandamanaji ikawa kubwa mara 10 zaidi ya Oktoba 29 tena wakiwa na utayari wa kifo, Serikali inasubiri raia waifikshe huko?

    Unahamasisha wasiokujua?Wacha uoga.Si umesema upo tayari kufa?Wacha ngebe jilipue ili hao wajinga wenzako wakuamini. Unaendeleza upimbi wa maneno matupu.Kamanda yupo mafichoni!Jitokeze.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Vipi ikitokea idadi ya waandamanaji ikawa kubwa mara 10 zaidi ya Oktoba 29 tena wakiwa na utayari wa kifo, Serikali inasubiri raia waifikshe huko?

    Si unadai wewe sio muoga?Thibitisha walk the talk.Wacha kupiga domo hapa JF.Onyesha mfano wa kuhamasisha maandamano.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Vipi ikitokea idadi ya waandamanaji ikawa kubwa mara 10 zaidi ya Oktoba 29 tena wakiwa na utayari wa kifo, Serikali inasubiri raia waifikshe huko?

    Anza kwa kuandika jina lako na anwani yako.Upo nyuma ya keyboard unajifanya mbabe.Onyesha mfano.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi Omar Artan atalipwa Posho yote ya Kombe la Dunia, licha ya kunyimwa Visa ya Marekani

    Kituo cha marefa wote kipo Miami Florida.Na ni lazima apite kwenye hicho kituo ili aweze kushiriki kuchezesha.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Iran wamesema hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa kati yake na Marekani makubaliano yoyote lazima yakidhi mahitaji yake ya msingi,

    Kosa sio lako ni la baba yako.Angetumia condom huu ujinga wako tungeuepuka.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Iran wamesema hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa kati yake na Marekani makubaliano yoyote lazima yakidhi mahitaji yake ya msingi,

    Wewe ni mpumbavu tu.Kwanza kuitwa mpumbavu umesifiwa.Huo utamaduni unaujua wewe.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

    Wewe unajulikana kelele nyingi hapa muda ukifika unakimbilia mvunguni.Wadanganyeni wajinga wajitokeze kufanya uhalifu mtakutana na mkono wa Serikali.Hakuna huruma ukileta vurugu na kuchochea vurugu.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mfanyabiashara Basil, aendelea Kusota gereza la Butimba

    Fanya kazi wewe wacha visingizio vya kijinga.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bikra ya kutengeneza na bikra original nitaitambua vipi?

    Kuuliza ni ujinga.Ndio maana unauliza usingekuwa mjinga usingeuliza.Ujinga sio ugonjwa.Ukiuliza ukapewa jibu ndio unakuwa umeondoa ujinga kwa kile ulichouliza na kupewa jawabu.
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KDF Soldier addresses protesters: 'Tumewaskia, na hatuko hapa kuumiza yeyote. Nyinyi ni watoto wetu, our brothers, mothers and sisters

    Yaani wewe uvamie kituo cha Polisi ukichome,uchome miundo mbinu na vituo vya mafuta na nyumba na magari ya watu wasiokuwa na hatia uachwe?Yaani wewe ukiwa na hasira ndio unaruhusiwa kufanya uhalifu? Marekani wacha kuchoma kituo cha Polisi ukisimamishwa ingiza mkono mfukoni utapata majibu yake...
Back
Top Bottom