You nail it! Nakazia maana Kila rais anayeanza muda wake Huwa mwema sana ila mbeleni anazidiwa inabidi na yeye ajiunge maana hakuna namna. Kuna elimu inahitajika Ili tuweze kubadilika sana kuanzia watawala, taasisi mbalimbali, Ili hata kama ni sheria itawekwa asiwepo wa kuipindisha
Tutaweza...
Hata hao unaoona wanafaa wakiingia hapo madarakani kama mind set zetu hazijakaa kubadilika wala hakuna kitakachoendelea tena hali itakuwa mbaya zaidi.
Sheria katiba zinatungwa zipo na zitaendelea kuwepo ila kama jamii yenyewe ni hii lazima mahubiri yapite sana daktari ajielewe, nesi ajielewe...
Mkuu umeeleza vizuri sana, hata huko kutokukuelewa kunaonyesha ni jinsi gani hatuwezi kujiongoza maana hatujielewi.
Hata tuombe na kufunga tupate hio katiba mpya kama hatuko tayari kujitambua bado bure kabisa maana mambo yakiachwa yaende kama tunavyotaka sisi hali itakuwa mbaya zaidi na ndio...
Mungu akuonekanie upate kazi na ukisha PATA kazi Fanya Kwa bidii maana sio kwamba kazi hamna ila hamuajiriki kijana. Ukipata kazi unataka uishi kama aliekuajiri, uendeshe gari nzuri ulale nyumba nzuri uwe na dem mzuri gafla tu hizo tamaa zinakufanya unaiba.
Omba Mungu kuwa mwaminifu utapata kazi
Kila mtu na maisha yake unapenda kupost do it hupendi acha sasa mtu kama furaha yake inatokana na kujipost unataka asifurahie Ili iweje maisha yenyewe mafupi acha watu wafurahie provided havunji sheria let them enjoy. Sijipost na sijali mtu akipost kama ndio furaha yake wewe kuwaita washamba na...
Wewe ni mpole naona, kamwe masikini hawapendi watu waliofanikiwa muda wote anatamani maisha yake yawe kama yakwako hivyo puuzia kata mti panda mtu akiiba tu fukuza watu ni wengi wanataka kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.