Wakuu salama?
Labda nianze na mimi
Mimi ningependa kuwepo kwa Kozi ya Usimamizi wa Maudhui na Haki Miliki za Mtandaoni (Content Monetization & Creative Rights)
Bongo waundaji maudhui (Creators) ni wengi mno, lakini wengi hawajui sheria za mikataba, jinsi ya kupata hela kupitia hatimiliki zao...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, akihutubia wanachama katika mkutano wa chama hicho, amezungumzia Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, ambaye amemwambia kuwa aendelee kupeleka moto
Heche alieleza kuwa msimamo uliowekwa na uongozi wa juu ni wa kutokurudi nyuma wala kupiga magoti dhidi...
Wadau wa utalii nchini Tanzania wamepinga tena mpango wa kuweka gari la kamba (cable car) kwenye Mlima Kilimanjaro.
Wanaonya kuwa mradi huo utaharibu ajira, utapunguza mapato ya serikali, na utadhuru mazingira ya mlima.
Hali hii imekuja siku moja baada ya Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na...
Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani
Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza kuwa atajitetea mwenyewe. Lakini kuna suala la mashahidi ambao mshitakiwa anataka wapewe summons...
Wanajamvi,
Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja (miezi 12) jela Ramadhan Rudabuka (19) DJ na Mkazi wa Patamela wilayani Chunya kwa kosa la kusambaza maudhui yasiyofaa katika mtandao wa TIKTOK.
Hukumu hiyo imetolewa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekemea vikali uamuzi wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO) wa kulifungia na kusitisha leseni ya gazeti la MwanaHALISI kwa kipindi cha miezi sita kuanzia tarehe 19 Agosti 2026.
Uamuzi huo wa serikali ulikuja kufuatia taarifa...
Wakuu,
Katika mahojiano yaliyofanyika kwenye kipindi cha Kume Pambazuka cha Radio One, Afisa kutoka BOT Henry Joseph amesema kuna tabia iliyokithiri kwa wananchi na wafanyabiashara kutumia mfumo wa Lipa Namba kama njia ya kutolea fedha (cash-out) badala ya kuutumia kwa ajili ya kulipia bidhaa...
Wakuu,
Akiwa anatekeleza majukumu yake ya kitaalamu katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa) iliyopo Kivukoni, Dar es Salaam, wakili Peter Madeleka ameeleza jinsi alivyokamatwa na maafisa wa polisi akiwa katikati ya shughuli zake za uwakili.
Kauli Yake Kuhusu...
Mwanasiasa John Heche amesisitiza haja ya kufanya mabadiliko ya kikatiba nchini ili kuimarisha uhuru wa vyombo vya sheria na mahakama, akitolea mfano mfumo wa teuzi za majaji nchini Kenya ambao unalinda uhuru wa mahakama dhidi ya kuingiliwa na muhimili wa dharura au mkuu wa nchi.
Akieleza jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.