Recent content by Tuagize

  1. Tuagize

    Je ni kweli mwanaume anaejielewa lazima awe bahili? Toa maoni yako

  2. Tuagize

    Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

    Nitamfanya kama chombo cha starehe tu
  3. Tuagize

    Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

    Kuwa na wapenzi wengi wala sio ujanja kaka, uaminifu katika mapenzi ndio nguzo ya msingi, uwe na wapenzi wengi ili iweje kaka yangu
  4. Tuagize

    Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

    Hapo kwenye Kumove on kaka ndo ninapoteseka, kuna muda nasema au awe mwanamke wangu wa kujiridhishanae tu kwamba ninapokuwa na hamu ya kufanya mapenzi
  5. Tuagize

    Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

    Asante kaka kwa ushauri mzuri, lakini mimi ni mtu ambae nikimpenda mtu nampenda kweli kweli sinaga uongo katika mapenzi, naogopa kuingia katika pombe pengine nikiingia huko naweza kuingia mazima 🥹
  6. Tuagize

    Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

    Pombe haitibu maumivu kaka
  7. Tuagize

    Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

    Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia...
  8. Tuagize

    Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

    Ameen mkubwa nitakuwa sawa tu
  9. Tuagize

    Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

    Kabisa mkuu, upate bahati sana uje kupata mke ambae atakuwa wa kwako tu daima vinginevyo lazima utalia tu, hasa hawa wanawake ambao tunawakuta mjini tayari wanauwezo wa kupanga magetto yao ni balaa sana
  10. Tuagize

    Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

    Kulala nae sio shida issue nikwamba tayari nishamuweka kwenye kundi ninalolijua mimi
  11. Tuagize

    Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

    Ninachoshukuru mungu, huyu mwanamke sijazaa nae wala kumuoa, hilo pekee ndo linanifanya moyo usiniume sana
Back
Top Bottom