sababu kubwa ya Medeye kukatwa kura za maoni ni kutokubaliwa na wananchi wa jimbo lake, ni politics ya kulinda jimbo, mwananchi yoyote wa jimbo lake la zamani anatambua hilo.
Huyu ndo kiongozi yule aliesema wananchi 'wapigwe tu'
Huyu ndo yule kiongozi, mtendaji mkuu wa serikali aliokua anawaangalia watuhumiwa wa escrow wakiachiliwa mmoja mmoja
Leo amevunja rekodi
Ama kweli Tanzania haikosi maajabu
kuzuka kwa vurugu hizi ni kutokana na vitu vichache tu
- waziri na serikali.kwa ujumla kutotoa elimu ya kile wanachokifanya na kuwadharau wananchi wa mtwara..mentality iliyojengeka au iliyojengwa baada ya maneno ya Mulugo imesababisha uelewa wowote wa jambo hili kupotea na kusababisha wananchi...
never expect anything good to come out of this parliament which is constantly steered by personal vendettas, party standups abd manifestos and purely favouratism!!
i have been loved by the best
falling again
say it again
love me over again
crazy in love
all im missing is you
i've got a winner in you
it must be love
true love
DON WILLIAMS is the best!
tunapoongelea sera ya ujamaa ni kweli ilishindwa kwamba sera zake zilikua mbovu au kuna sababu nyingine
kumbuka kwenye miaka ya sabini mwanzoni nchi ilikua inaelekea kuzuri lakini vita ya kagera ilituathiri vipi, mtikisiko wa kiuchumi wa dunia ulituathiri vipi, vita baridi na anguko la urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.