Recent content by Tsitingile

  1. T

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

    Wewe KAWE ALUMNI hauna kazi ya kufanya??? Maana kila uzi lazima uchangie hadi kero. Uwe unapumzika usikilize na wenzio
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli lipa Mafao ya Wastaafu kabla ya Uchaguzi Oktoba 2020

    Unalaana wewe, unataka wategemee nini?
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli lipa Mafao ya Wastaafu kabla ya Uchaguzi Oktoba 2020

    Hata MIRATHI imekuwa tabu kulipwa
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naona CHADEMA inavyokwenda kuishangaza Dunia

    Ngoja nikufundishe hesabu maana naona ulikimbia hesabu. Let say wapiga kura Tz wapo Mil 20 (ingawani pungufu ya hapo) Hiyo 20% ni kama wapiga kura mil 4 au 3 Kila mfanyakazi kwa Tz ana watu wasiopungua 4 wanaomsikilza na kumtegemea. Ukizidisha mil 4 × 4 ni mil 16. Kama una akili umenielewa.
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe, nakuahidi kuwa CHADEMA hamtochukua nchi ila wewe utakosa Uenyekiti

    Hivi Mbowe akikosa Uenyekiti ATAKUFA????? Au itakuwa mwisho wa Dunia. Kwanini wapinzani wa CDM hawataki Mbowe awe Mwenyekiti?? Anaejua plz aniambie/ anielimishe
  6. T

    JamiiForums Tanzania CCM yaunda 'ukawa' yake dhidi ya CHADEMA

    Ha ha haaaaaaaaaaaa, bila UKUCHA tutapata tabu sana.
  7. T

    JamiiForums Tanzania CCM yaunda 'ukawa' yake dhidi ya CHADEMA

    Trust me, CCM inavyoikandamiza CDM kwa msaada wa Serikaka inakosea sana. Watu kwa asili hawapendi mtu/ kitu kibabe. Namkubali sana JPM but sio CCM. Kuna sababu nyingi za watu kuichukia CCM fanya research utagundua.
  8. T

    JamiiForums Tanzania CCM yaunda 'ukawa' yake dhidi ya CHADEMA

    Chadema bado inanguvu kubwa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

    SIO KWELI. MPANGO WA 2015 ULIPANGWA KUIANGAMIZA CHADEMA
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

    Paka anampa Panya ushauri.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaohama CHADEMA kipindi hiki hawataki kwenda ACT-Wazalendo?

    Kidumu chama cha NccmR, kidumuuuuu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaohama CHADEMA kipindi hiki hawataki kwenda ACT-Wazalendo?

    Naomba mtaalam wa maandishi, aunganishe NCCR kupata CCM. Hiyo NR = M
  13. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuokoa CHADEMA isife...

    I Ili CHADEMA isife SERIKALI iache kuipendelea CCM
  14. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuokoa CHADEMA isife...

    Mbowe atoke chama kishikwe na CCM
Back
Top Bottom