Recent content by tryvenak

  1. tryvenak

    Je, Mwanasiasa anayepatia Kiingereza cha Kuandikiwa tu ila Kuongea anaogopa na Yule anayekichapia ila haogopi Kukiongea nani ni Bora?

    Nani amekuambia ukiongea lugha ya kigeni kwa kuikosea unaharibu image yako. Ni mjinga pekee anayeamini ubora wa mtu upo katika kuzungumza lugha ya kigeni kwa ufasaha.
  2. tryvenak

    Ni heri kubariki ndoa kuliko kufunga harusi

    Acha uongo [emoji16]
  3. tryvenak

    Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

    Mbez Kimara sehm gan nipe location nije nichukue
  4. tryvenak

    Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

    Mbona hko nchi za wenzetu rais anapita na wananchi wanaendelea na shughuli zao Hku kwetu tunashindwa nn
  5. tryvenak

    "Vitoto" vya kiume au vivulana muwe na heshima

    Kilicho mkasirisha hapo ni nn? Kupewa offer ya kufanyiwa scrub bure au vp. Itakuwa hyo sister ana matatizo binafsi na c hyo mvulana kuwa et kamkasirisha.
  6. tryvenak

    SOLD: HP Laptop with 1TB storage for sale

    Njoo pm tuongee
  7. tryvenak

    Tujifunze kitu leo:

    Angalia vizuri hii picha! Hapa ndipo atakapozikwa aliyekuwa Bilionea na Kipenzi cha Watanzania Dr Reginald Mengi. Shughuli ya Uchimbaji Kaburi inaendelea,Kati ya hao Vijana unaowaona kuna Bilionea unayemjua?? Kuna Mfanyabiashara Mkubwa Tanzania unayemjua?! Kuna Superstar Mkubwa unayemjua...
  8. tryvenak

    MTAZAMO;

    Hapa Hapa tanzania mkuu.
  9. tryvenak

    MTAZAMO;

    Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi na watu maarufu ni vyema tunazipa barabara hizi majina ya wakandarasi wanaozijenga, tukiweka bango La mahali anakopatikana na namba zake. Hii itasaidia kuwa naa barabara nzuri haraka sana.
  10. tryvenak

    NATAFUTA MUME

    Naomba niwe dalali. Tuma full informations
  11. tryvenak

    UTATA: Fedha za mtu aliyekufa zilizopo kwenye benki au simu hupotelea wapi?

    Utasikia basi limeua wanne, pikipiki imeua sita au waliokufa Muhimbili wamefika 100 kwa mwaka jana ama meli ya Nungwi imeua 60. Na hao ni wateja wa M-PESA, Tigo pesa na Airtel money. Hela zao zinaendaga wapi? Kuna utaratibu upi wa kuwapatia survivorship au next of kin wao?
  12. tryvenak

    Inaaminika kuwa, mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yeyote

    Changien mada bila kejeli na matusi tadadhali. Nawasihi Kama mleta uzi
  13. tryvenak

    Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

    Labour market huwa inabadilika over a time. Huenda wakati anasoma hyo program soko la ajira lilikuwepo. So acha kejeli kama huna cha kumshauri better ungepiga kimya.
  14. tryvenak

    Wanaume warefu...

    Kabsa. Rudia kufanya research
  15. tryvenak

    Wanaume warefu...

    Mtoa mada leo umechemka.
Back
Top Bottom