Mbona tangazo limekaa kama la mwenyekiti wa kijiji hilo! Hivi nyie na uzoefu wenu wote mnaliamini,
By the way , nadhani wale jamaa wa ufipa walikuwa na point jana , naanza kupata mashaka na hizi chenga, zimekuwa nyingi kwa kweli!
Mkuu kuna sehemu za siri nyingi kama vile kabatini zinapokaa pesa, unapoweka ATM card, zinapokaa hati zako mbalimbali etc.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Experience my shoes!
Ndio maana Tz tunabaki malofa na wapumbavu , kuna utaalamu wa kiufundi (technical skills) na kuna morals na ethics, hizi zipo wazi kwa kila mtu msomi na asiesoma,
Yaani kujua kama unaibiwa na hilo mpaka msomi akuambie ndio uelewe , huoni, huo ni unyumbu uliokomaa!
Yaani...
Hao ni wapumbavu a.k.a wajinga waliokomaa, badala ya kuongelea ufumbuzi wanatajataja watu, mtu mmoja atakusaidia nn, a fallen creature! Mtu mwenye tamaa zake na udhaifu wake unaenda kumtaja kama vile unataja jina la Mungu, sio upumbavu ni nn huo?
Kutaja taja watu ndio kumewaponza mpaka leo hii...
Sasa hapo tunaweza kusema nn juu ya demokrasia zetu, are they real ama ni maigizo tu,
Na inaonekana watu hao wapo serious sana na business zao ingawa raia ni wapumbavu, ndio ujinga uliokomaa ni upumbavu, maana raia wanachekelea tu taarifa mbali mbali kama za wizi na ubadhirifu wa viongozi wao...
Duh! Pole sana kaka mkubwa ila asee, kidogo nilie hapa yaani i like feel the way you feel , wanaita kusympathize, asee hiyo ni ya kuvuta pumzi kwa nguvu na kupumua ili pepo la hasira litoke kifuani maana ukijaza hasira hiyo ni murder case mkuu, relax, nenda ifukweni tulia peke yako tafakari...
Angalia sana yaleyale ya Norah Marealle wa sinza aliyebakwa na mjomba wake nyumbani kwa wazazi wake sinza na baadae akakanyonga kukwepa ushahidi!
Inawezekana yalianza hivyohivyo ila kwa kuwa kalikuwa kana miaka 11 alikapasua vibaya, sasa hapo hakuna ujanja inageuka kesi nzito , si ndio...
Mkuu zile hadithi ni nouma, mpaka leo unawaza hao daudi family walikuwepo somewhere,
Mi nilikuwa natamani hadi kukutana nao , ililuwa ikifika lipindi cha english unasubiri uone leo watakuwa na nn , kama unatazama series,
Unakumbuka ilivyokuwa, yaani ukisoma vile vitabu unakuwa kama vile unawaona musa , baraka na neema na wazazi wao, utadhani wapo hai sehemu fulani!
Nahisi huyo jamaa alipata ufunuo wa ROHO MTAKATIFU, maana zile hadithi zilikuwa na uhai na ziliweza kuimpart maadili fulani ya kuishi kwenye familia...
Pale watu. Mida ya saa 12 asbh huwa wanashindana kuwahi foleni huku mbele kuanzia lugalo, so huwa panatisha kwa mtu makini, na ukijisahau pale siku yoyote ujue ni zamu yako ,
KWANINI WATANZANIA MNAKUWA WAZITO KUAMINI MPAKA AJE MALAIKA AWAONESHE NDIO MUAMINI!
AMA KWELI NDIO MAANA JOKA KUU LA KUTOKA GAMBUSHI NDIO LILIPEWA KAZI HIYO YA KUSIMAMIA UFISADI HUO NA NI DHAHIRI ULIAMBATANA NA KUWALOGA AKILI SIO BURE, HAPO GAMBUSHI INAHUSIKA NA UKIONA HIVYO WACHAWI WAKUU NDIO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.