Recent content by trustful

  1. T

    Sinywi pombe Sinywi soda! Ninywe nini nikiwa bar

    Hapo kwenye kupika porini nimekuelewa sana aisee, inasaidia sana kuondoa stress
  2. T

    Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

    Mkuu nazitafuta sana hizi kazi, please nielekeze website japo hata moja tu nianze kupiga kaz
  3. T

    Kazi ya udalali: Changamoto na namna bora ya kufanya kazi hii

    Hiyo nyumba ipo Morogoro Msamvu mtaa wa sume, ina vyumba 6, inauzwa mil 35, ukubwa wa kiwanja sijui, maji yapo, barabara ipo na mmiliki yupo.
  4. T

    Ushawahi kujifanya mjuaji ukaja kuumbuka?

    Hii stori nimeishawahi kuisikia humu ila umeiedit kidogo...
  5. T

    Kazi ya udalali: Changamoto na namna bora ya kufanya kazi hii

    Mkuu kama kuna dalali yeyote unaemfahamu kwa Morogoro naomba uniunganishe nae maana nimepewa kazi ya kuuza nyumba hapa hata sijui nianzie wapi kuwatafuta wateja.
  6. T

    GE2020 Lissu ailipua TCRA na Idara ya Habari Maelezo kwa kunyanyasa Vyombo vya Habari vinavyoripoti habari zake, aahidi kuifutilia mbali

    Mimi pia nimemdharau sana huyu bwana kwa hiyo comment yake, halafu huwa anaandika madini sana , njaa hizi jamani!!
  7. T

    Umeshawahi kunusurika kifo? Tuelezane ilivyokuwa, kama njia ya kumshukuru Mungu

    mkuu pole ila nimecheka sana yaani unakata waya wenye umeme kwa meno!?
  8. T

    Nini yatakuwa madhara ya kuruhusu Ethiopia kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)?

    Nashukuru sana mkuu, umenifumbua macho pakubwa, nilikuwa siyajui yote hayo!.
  9. T

    Seven (7) reasons why most degree holders are poor?

    You are very intelligent! And what you have written is a pure fact.
  10. T

    Nini yatakuwa madhara ya kuruhusu Ethiopia kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)?

    mkuu nataka kwenda huko ikiwezekana nioe na kufanya makazi huko. Vp hali ya maisha kiujumla na utamaduni wa huko mkuu?
  11. T

    Unaambiwa

    nisiongee sana bwashee ila kwa ufupi tu hizo style zote ulizozitaja ninazicheza balaa, kwa mfano nikiamua kufanya hiyo moon walk style utanipenda...Yaani nateleza vizuri kurudi nyuma huyo michael jackson mwenyewe akasome...Nikisema nicheze stones ndo naua kabisa.
  12. T

    Unaambiwa

    mi mwenyewe mkali wa kuvunja bwashee.
Back
Top Bottom