Recent content by Trump ya ching chong

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu leteni za send off NO huwa zinatoa sana
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Hawa waliofungua uzi halafu hawa replay hii inaonesha jinsi wananchi wanavoteseka bila kero kushughulikiwa katika maisha halisi ya mtanzania
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Jamani mwenye carina ti ambae ameichoka ya bei ndogo ani pm aniuzieee
  4. T

    JamiiForums Tanzania Bahati ilioje: Msiba wa Raia uliogeuka kuwa Msiba wa Kitaifa, Tunaishukuru Serikali

    Mkuu hapa moshi vijijin sehemu akina halima wamejenga panaitwa PUMUANI
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bahati ilioje: Msiba wa Raia uliogeuka kuwa Msiba wa Kitaifa, Tunaishukuru Serikali

    Wanazika hapa pumuani au huko vudee milimani
  6. T

    JamiiForums Tanzania Namtafutia 'Management' ya muziki ndugu yangu

    Sawa sawa nitaweka kaka
  7. T

    JamiiForums Tanzania Namtafutia 'Management' ya muziki ndugu yangu

    Teh teh teh teh teh nakuja inbox mkuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Namtafutia 'Management' ya muziki ndugu yangu

    Kichwa hapo juu chahusika, nina mdogo wangu ana kipaji cha uimbaji yupo shuleni. Mwanzo sikujua kuwa anajihusisha na muziki kwani amekuwa ni mcheza mpira mzuri sana hasa upande wa golikipa nikajua huko chuoni anaendeleza kipaji hicho. Kilichonistua ni mwaka jana amekuwa akiomba pesa mara kwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga

    Kama wewe ndo chama kinakutegemea afu hujui hata historia yake bas kimeshafeli
  10. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga

    Jibu hoja ya wile kupokonywa kwa mtutu wa bunduki hapo ndo nitakuheshimu vinginevyo unabwabwaja tu
  11. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga

    Nakuapia ndugu mwashambwa wa chadema hapa wilayani chama cha wachaga hakiji kupata ubunge mfano mufindi kusini mlimweka titho kitalika dhidi ya kihenzile mlichekesha kweli, kule kaskazini eti masonda dhidi ya kigahe na hapa mjini umedanganya kuwa wile alipokonywa kwa mtutu si kweli alishindwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta wachumba njoooni hukuu na wale wenye umri mkubwa waume wapo kazikwenu

    Mkuu chambua mkeka uweke code tupate pesa za kuwala hao dada zako
Back
Top Bottom