Recent content by True taller

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Viwanja vya Sabasaba

    Washukuru wakinanani? Umeniboa kwa kauli yako. Kma mtanzania lazima ufurahie serikali inavuna mapato, usituchanganyie chuki zakisiasa kwenye maendeleo, we ulitaka padorole ili iweje? Serikali itakuhudumiaje?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mazingaombwe ya kutoroka kwa mshukiwa wa mauaji ya msikitini Mwanza

    Vyema umetaja matukio ya mwanza, Tanga. Lazima ujue hayo sio mapambano dhidi ya jambazi mmoja bali ni mtandao mzima. Mambo ya kusema sinema yanatoka wap?. Liache jeshi la polisi lifanye kaz yake, usianze siasa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yarudisha kifaru kutoka Jamhuri ya Czech

    Ha ha ha ha ha ha hatari sana, Mi simo,
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uingereza ni dhahiri Mwl Nyerere ataendelea kuishi

    Hata Nyerere alikuwa anaona mbali sana mkuu! Tulia tuendelee kushuhudia maneno yanayoishi. Big up wana Kigoda cha Mwalimu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Makamba amka! Nusu ya nchi inaelekea kuwa jangwa

    Kaka unaakili sana kuleta huu uzi. Mawazo yamegandia kwenye siasa wakati nchi inakuwa jangwa. Hongera sana kwa ubunifu huo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Makamba amka! Nusu ya nchi inaelekea kuwa jangwa

    I like it
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wabunge wa UKAWA msitoe mawazo yoyote kuhusu kuboresha hii bajeti

    Ha ha ha ha! UKIWA bwana duu.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kenya trilioni 55, Tanzania trilioni 29. Tanzania inakosea wapi?

    Kwa hiyo hata wewe unaamini una akili ndogo kuliko Mkenya?. Angalia historia ya Kenya na Tanzania kwanza ndo useme yako
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: Rais ameanza kusafiri,akumbuke kubana matumizi

    Wewe ndo unamwita Rais Wenge, angalia utavuka mipaka sasa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa jeshi la Polisi, kumbe mtandao wa wezi wa vifaa vya magari unajulikana

    Hayo mengine tuwalalamikie ni sawa kabisa, lakini tuwe wakweli kama kodi hata wao wanalipa kawa sisi.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Huna hoja! Eti biashara huria, tulia wenye upeo watengeneze nchi bhana! We bado mchanga hujui mambo yanavyoenda NENDA KWANZA KAJIFUNZE MAANA YA KUHUJUMU UCHUMI NA BIASHARA HURIA NDO ULETE HOJA YAKO. BADO SANA UNAMAWAZO MGANDO! UKIZUBAA HAUTATOKA
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Utakaguaje ubora wa bidhaa inayoingizwa kimagendo?, af pia nenda kasome vizuri tamko la Rais wakati ule anazuia vibali vya sukari. Jamani Rais alisema sukari itakapoanza kuadimika atatoa vibali kwa utaratibu maalumu. Tatizo lipo kwa wananchi wenyewe kuficha sukari sio Rais, hakuna namna ya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Huna hoja
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Sjakuelewa, inaonekana huna fact
  15. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

    W
Back
Top Bottom